Bibi kama huyu anaweza kuipigia CHADEMA kura, kama asipoelimishwa vyakutosha?

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

kwahiyo unashaurije?.......hapo tu ndipo ulipo utamu wa demokrasia.
 
Kuna sehemu huku kwetu usukumani wanajua Nyerere bado Rais wa Tanzania.
 
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

View attachment 38264

Hawa ni watu wa muhimu sana kuchangia Demokrasia....wote tukiwa na uamuzi wa kuipigia kura CHADEMA tu hakuta kuwa na maana ya demokrasia na uchaguzi....We need to accept the truth wa diversity katika kukomaa
 
By 2015

Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

Attachment 38264

wewe unataka kusababishi vikongwe wauliwe------------------

kweli kabisa watu wa namna hii hawafai kwani nani alisema bibi kizee hana ruhsa ya kupiga kura au mnataka kutuwekea na umri wa mwisho kupiga kura????​

Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

View attachment 38264
Wewe umezaliwa na nani, mbaguzi mkubwa? Baba na Mama zako hawana wazazi wao kama bibi huyu? Watu kama ninyi ndio mnaweza kupelekea vizee kama hawa kubaguliwa na hata kuchinjwa. Ukitaka kura za vizee hivi vifuate na kuvipa sera. Lakini weng wenu mnashinda humu Jf na kusubiri Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika na wapiganaji wengine wafanye na sisi ninyi kusifia tu. Hiyo haitoshi kuleta mabadiliko ambayo yatapokewa na watu wa rika zote. Nani hana mababu na mabibi kama hawa? Kama kweli kila m[enda mabadliko akijitoa kuwaelimsiha babu na bibi zake Magamba watabakiwa na wafuasi kweli?
 
Ila hapa kuna ka ukweli, Democrasia nayo ina gharama zake! Kwanza kiswahili hawajui, na ukiongea kilugha unaitwa unaendekeza ukabila! Dawa ni Kimpumu bohora moja na t-shirt, sera tosha kabisa!
 
Kha!! Ebwana eeeee kwenye hiyo picha nimeona sanduku la kura limefungwa kamba na kutundikwa darini, ina maana NEC hawaamini hadi wanajiogopa wenyewe inawezekana MKAPA akambia na sanduku la KURA kama waziri NCHIMBI alivyofanya kule Songea.
 
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

View attachment 38264

Jamani kweli tumefikia hatua tuna kuwa na mawazo mfu kiasi hiki? Hii ndiyo demokrasia, kama kuna watu Igunga walihamasika na CDM basi waache wakipe kura, watu kama huyu bibi naye ana chaguo lake, kama amechagua magamba wacha akipe chama chake kura, tuna diversity ktk watu kubwa miongoni mwetu. Is this really a prob to you GreatThinker? Are you really one of the GT?
 
nadhani waacheni wapige in 15 years hawapo wote kwa natural death vikongwe watakuwa wengine wanaofahamu kinachoendelea.
 
Bora yeye alipiga kura. Kuna wengi hawakujiandikisha alafu sasa wanaishia kupiga kelele tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…