Bibi kama huyu anaweza kuipigia CHADEMA kura, kama asipoelimishwa vyakutosha?

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

07bibikura.jpg
 
Kuna sehemu huku kwetu usukumani wanajua Nyerere bado Rais wa Tanzania.
 
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

View attachment 38264

Hawa ni watu wa muhimu sana kuchangia Demokrasia....wote tukiwa na uamuzi wa kuipigia kura CHADEMA tu hakuta kuwa na maana ya demokrasia na uchaguzi....We need to accept the truth wa diversity katika kukomaa
 
quote_icon.png
By 2015
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

Attachment 38264

wewe unataka kusababishi vikongwe wauliwe------------------

kweli kabisa watu wa namna hii hawafai kwani nani alisema bibi kizee hana ruhsa ya kupiga kura au mnataka kutuwekea na umri wa mwisho kupiga kura????​

Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

View attachment 38264
Wewe umezaliwa na nani, mbaguzi mkubwa? Baba na Mama zako hawana wazazi wao kama bibi huyu? Watu kama ninyi ndio mnaweza kupelekea vizee kama hawa kubaguliwa na hata kuchinjwa. Ukitaka kura za vizee hivi vifuate na kuvipa sera. Lakini weng wenu mnashinda humu Jf na kusubiri Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika na wapiganaji wengine wafanye na sisi ninyi kusifia tu. Hiyo haitoshi kuleta mabadiliko ambayo yatapokewa na watu wa rika zote. Nani hana mababu na mabibi kama hawa? Kama kweli kila m[enda mabadliko akijitoa kuwaelimsiha babu na bibi zake Magamba watabakiwa na wafuasi kweli?
 
Ila hapa kuna ka ukweli, Democrasia nayo ina gharama zake! Kwanza kiswahili hawajui, na ukiongea kilugha unaitwa unaendekeza ukabila! Dawa ni Kimpumu bohora moja na t-shirt, sera tosha kabisa!
 
Kha!! Ebwana eeeee kwenye hiyo picha nimeona sanduku la kura limefungwa kamba na kutundikwa darini, ina maana NEC hawaamini hadi wanajiogopa wenyewe inawezekana MKAPA akambia na sanduku la KURA kama waziri NCHIMBI alivyofanya kule Songea.
 
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

View attachment 38264

Jamani kweli tumefikia hatua tuna kuwa na mawazo mfu kiasi hiki? Hii ndiyo demokrasia, kama kuna watu Igunga walihamasika na CDM basi waache wakipe kura, watu kama huyu bibi naye ana chaguo lake, kama amechagua magamba wacha akipe chama chake kura, tuna diversity ktk watu kubwa miongoni mwetu. Is this really a prob to you GreatThinker? Are you really one of the GT?
 
quote_icon.png
By 2015
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.

Attachment 38264

wewe unataka kusababishi vikongwe wauliwe------------------

kweli kabisa watu wa namna hii hawafai kwani nani alisema bibi kizee hana ruhsa ya kupiga kura au mnataka kutuwekea na umri wa mwisho kupiga kura????​

nadhani waacheni wapige in 15 years hawapo wote kwa natural death vikongwe watakuwa wengine wanaofahamu kinachoendelea.
 
Bora yeye alipiga kura. Kuna wengi hawakujiandikisha alafu sasa wanaishia kupiga kelele tu...
 
c c m oyeeeee !!!!!!!!
Kataa kubali ccm no 1
Mi kweli kabisaa! Ataekataa lazima atakuwa chizi wa namna fulani. No. 1 kwa wizi wa kura, no.1 kwa ufisadi, no. 1 kwa kuwafanya watu misukule ili wawaibie na rasilmali zao wakose hata cha kurithisha watoto wao, no. 1 kwa kila baya, manake hata humu JF ipo mijitu inashabikia CCM wakati huko kwao killage madege yanabeba mchanga wa dhahabu kupelekwa nje ya nchi! lmo humu humu. Pengine tukiitoa madarakani ndipo neema ya kweli itakuja.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom