Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

Weee haijalishi nina pete yako. Hata kama niko ndani nitatoka tu
Ili uwe na maisha ya amani lazima uwenami, nje na mimi utaishi kama mkimbizi, wiki moja inakutosha kurudi na kuomba msamaha, yaani kwangu ni chuo cha adabu.
 
hahahah! iyo aliitaji kufunga ndoa na kazi ya jamaa co jamaa,yani ningekua mm hakuna mjadala na uyo mke tena km haibu nixhazomewa xn xhulen kwa kuxhika mkia xo iyo itakua marudio tu
 
leo nmeamin kweli mimi napenda mambo yetu,hiyo heading imenikurupua nkajua bibi harus kakimbia boloyoung
 
Hiyo sio sinema kweli?
Hiyo ni Sinema za Nollywood kwani mleta uzi hata link hakuweka
Binti hawezi kukimbia na shela umefunika macho pili bwana ana furaha
kitu hakiwezekani watu wachangie na watoke mbali bint akakatalie kanisani
 
sasa beibe unanifikiriaje mie mchota maji,
please niruhusu nikukune huo muwasho wa mapenzi,
hebu njoo uyape utamu maisha yangu jamaani,
oooh we mtoto ujue ninaku
Time to sleep mtoto mzuri. Kesho shule
 
Du! Ila wote aibu zitawajaa! Iwe mwanaume au mwanamke! Japo jamaa kadhalilika sana
 
Du! Ila wote aibu zitawajaa! Iwe mwanaume au mwanamke! Japo jamaa kadhalilika sana
 
Mambo ya Luton us a mwaminifu katika mahusiano kwa kusema ukweli. Kuwa mkweli ili mwenzio aamue kukukubali au kukukataa.
 
Mi mpiga picha alikuwa makini sana,,,yaani yeye anaacha kumkata bi harusi,,,anakimbilia kutwanga photo,,,,mpiga picha amechangia bi harusi kututoroka,,angemshuka amrudishe watu wangeendlea kula pilao yako swaafi
 
kwani wazee wamepigwa ganzi ya malovee?
na wenyewe si wanahisia?
Mkuu papuchi ya wazee(bibiz) kitaalamu wanasema zinapungua ule utelezi(lubrication) inayosaidia katika tendo la ndoa,hivyo bhac ikikosekana hyo lubricant katika tendo la ndoa hakuna rahaa yoyote kwa me au ke.
 
Back
Top Bottom