Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ukidanganya utakimbiwa tuwe nipe moyo tu ila ujue m mchota maji mwenzako,
sina madolaly usije ukanikimbia bure,
Ukidanganya utakimbiwa tuwe nipe moyo tu ila ujue m mchota maji mwenzako,
sina madolaly usije ukanikimbia bure,
Haya,ngoja nikanunue hiyo filimbinitaanzaje kukumbia we mbeibe,
mwenzio ndo nasubiri upige filimbi tu mi nianzishe mchezo,
Hahahaha.Mandingo Jordan.Dah ulivyosema katikati ya tendo la ndoa nikajua tena amekutana na Mandingo anaokoa kizazi chake ,kumbe kanisani
Wewe umeshatangaza kwa wenzako wote unalolewa na Dongote, leo uje ugundue ni msela tu wa mtaaniHuyo bwana harusi ni tozobe!
Angekuwa anamkata mashoka ya ukweli bi dada angekubali ndoa bila figisu!
Hawa mbona hawanaga ujanja ukikamatia chini mpaka kwenye gololi..... !
Zari yule pale anazaa tu sasa.....!
Mmh! Ngoja ninyamaze!
Bora nizeekee huku shamba aiseeee....kama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume

Yaani ingekuwavmie nami nawajibu tu its an abomination to stay with a lierKama ninaona Wanigeria, ataanza kuambiwe is an amomination to run away from your wedding.
Comrade....Hiyo sio sinema kweli?
Tumefanya nini?hahhaha hawa viumbe hawa... basi tu!!!
Dhambi gani tenahivi we mrembo unajua unapata dhambi?
Uhai wako baki nao mwenyewe banahaya bwana,
m nilishakwambia kwako nipo tayari kuhonga uhai,
Watu walipigwa na mshangao mkubwa nchini Nigeria baada ya bibi harusi kutoroka kanisani alipogundua mume wake mtarajiwa sio mfanyikazi wa kampuni moja ya ya kitajiri ya kuuza mafuta.
Je ungekuwa wewe mwanamume ama mwamamke umeachwa mataani kwenye harusi yako mbele ya watu kibao familia ,ndugu na marafiki na maadui waanza vipi??
![]()
![]()
Kiruuuhivi huoni unavyoudhulumu moyo wako,