Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

kama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume
bora wewe umekua waziiiiiiii
 
Miss Na tafuta unatuangusha wanawake wenzakoo..Tutakimbiwaa wenzake kwa comment zako tata. Usijitoe ufahamu Wewe.Tulia..Inaonekana umekata Tamaa Na wanaume Sasa unaropoka tu .Nijibu utumbo uone mziki wangu.
 
hahahah! iyo aliitaji kufunga ndoa na kazi ya jamaa co jamaa,yani ningekua mm hakuna mjadala na uyo mke tena km haibu nixhazomewa xn xhulen kwa kuxhika mkia xo iyo itakua marudio tu
Acha kuweka Xxx kwenye maandishi yako humu sio Facebook..Ni Watu wazima waelewa..au umepotea njia.
 
hahahah! iyo aliitaji kufunga ndoa na kazi ya jamaa co jamaa,yani ningekua mm hakuna mjadala na uyo mke tena km haibu nixhazomewa xn xhulen kwa kuxhika mkia xo iyo itakua marudio tu
Jinga wewe,umeandika mavi gani hapa?
 
Kama anapenda pesa si afunge ndoa na bank?
Swala hapo sio pesa, huwezi mdanganya mtu anaetarajia kuwa wa ndoa wako, je kama Mume anafanya ujambazi, shoga, ama muuza dawa za kulevya. Wanandoa lazima muwekane wazi kila mmoja alidhike na kila kotu cha mwenzie kuanzia hali afya zenu, mapenzi yenu, shuguri zenu za kiuchumi. Ukimdanya mtu hasa mwanamke, akija labda akute zaidi ya kile ulichomweza, mfano: Ukimwambia unamiliki piki piki, akakuta unamiliki gari ataka kwa furaha, umwambie unamiliki gari afu akkute unamiliki piki piki, upendo huoshia hapo hapo.
 
Duuuh
kama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume
 
Wanawake hawataki kuambiwa ukweli sa nini kifuate kama si KUMDANGANYA? akafanye kazi yy
 
tatizo hamkubaligi walala hoi,
sasa ili tuwapate lazima tuwaingie kwa swaga za kipapaa,
ukija kujua mie ni muuza genge ni too late na "utamu na urod@" ushatoa,
Sio kweli,ni baadhi ya wanaume tu hawajiamini,mbona tunaona watu wenye maisha ya hali zote wakifunga ndoa..??
Ona sasa msala alousababisha
 
Back
Top Bottom