Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

13900241_919034134874567_3948307888731308144_n.jpg

Alaah mm nilifikiri kakimbia kupigwa show labda hana kipapuchi kidogo alafu kakutana na mguu wa mtoto
lazima utengeneze mazingira ya kuvutia walaji
 
Kampuni ya mafuta kwani yeye chombo cha moto eg gari au pikipiki
 
kama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume
Ungekimbia katikati ya tendo la ndoa!!
 
Watu walipigwa na mshangao mkubwa nchini Nigeria baada ya bibi harusi kutoroka kanisani alipogundua mume wake mtarajiwa sio mfanyikazi wa kampuni moja ya ya kitajiri ya kuuza mafuta.

Je ungekuwa wewe mwanamume ama mwamamke umeachwa mataani kwenye harusi yako mbele ya watu kibao familia ,ndugu na marafiki na maadui waanza vipi??

13939492_919033928207921_4159767238860158401_n.jpg
Kichwa cha habari kinasisimua sana ingawa hoja inasikitisha, huyo hakuwa muolewaji ni after money
 
kama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume

Wewe kweli kwa hiyo akili yako ungekimbia,
Haya Njoo PM utukane tena.
 
Back
Top Bottom