Mwanamke wangu nimemchukulia wigs za laki laki tatu, kope anaweka zile fupi.... Kucha haweki kutokana na kazi yake..... Make up ni km chakula........
Na kesho kutwa tunavyoenda marrrrrraaaangu inabidi akae kizungu ni ku clock iiiiit mpaka mawifi na mashemeji wawekee kikao hakuna mke hapa cc
Seran