Leo asubuhi katika katisha zangu shambani bibi Anna alikuwa ana palilia mahindi shambani lakini alionekana mchovu sana katika kufanya kazi kwake, kama mtz muungwana ikabidi ni mwulize bibi kulikoni jibu lake kwangu mjukuu wangu nimechoka nina miaka 70 lakini bado nateseka na kulima bora niende mbele za haki kwakuwa sina msaada wowote.Dah nimekosa jibu imebidi niseme pole bibi hicho ndio kilimo kwanza.akajibu tena mjukuu wangu we nyamaza mbolea juu mbegu juu usitake kunikumbusha machungu nilio yasahau.Imenibidi niondoke kimya kimya bila coment.