KUPENDA SIFA NA KUJIITA MUNGU NI VITU VIWILI TOFAUTI. Huyu wetu hajajiita ni MUNGU ZAIDI NI RAIS ALIYECHAGULIWA KWA WINGI WA KURA. Ila mtu akisifiwa hufurahi hata wewe ni ubinadamu. Ndio sababj tunamsifia MUNGU NA ZAIDI KUMWABUDU.FRANCIS DA DON,
KAtika mambo ambayo Mungu hana msalia mtume ni binadamu kujikweza na kuanza kushangikia kuitwa Mungu.
Adhabu yake kwenye Bible ni kifo.
Ndio ninavyojua mimi.
Kuna mfalme walimuita Mungu. Mungu mwenyewe akamuua.
Sasa ngoja tuone labda Lema dream come true.
Ndiyo maana nimesema ni kutokuwa na exposure ya kutosha. Haya ni mambo ya kawaida kabisa vijijini lakini watu wengine wanajifanya hawajui mazingira ya vijiji vyetu.Unanikumbusha mbali, nilienda kijiji flani Mwika nikasalimiwa na wabibi shikamoo dah nliishiwa pozi
Ndiyo maana nimesema ni kutokuwa na exposure ya kutosha. Haya ni mambo ya kawaida kabisa vijijini lakini watu wengine wanajifanya hawajui mazingira ya vijiji vyetu.
Jibu la kwanini ulisalimiwa na wabibi limejibiwa na mdau hapo chini.Unanikumbusha mbali, nilienda kijiji flani Mwika nikasalimiwa na wabibi shikamoo dah nliishiwa pozi
ninavyoelewa ukiwapita wakubwa bila kuwasalimia ndio wanakusalimia wao!!
Du. You are really dumb my dear. Tunazungumzia mazingira ya vijijini mazee! Hujawahi kufika vijijini?Wewe usiyejua kujiongeza ndio una shida.
Mtu mzima kumsalimia kijana hua ni kumkebehi sababu kijana hajamsalimia.
Hukufundishwa kusalimia wakubwa ukiwa kwenu?
Labda vijiji vya Congo lkn vya Tz havina utaratibu huo.Du. You are really dumb my dear. Tunazungumzia mazingira ya vijijini mazee! Hujawahi kufika vijijini?
ninavyoelewa ukiwapita wakubwa bila kuwasalimia ndio wanakusalimia wao!!
Kanda Ile ina vilaza wengi mno na tena inaongoza duniani Kwa vilaza wengiHuyo bibi atakua kilaza wa kanda hiyo
Kwani jamaa amejiita ama ameitwa....FRANCIS DA DON,
KAtika mambo ambayo Mungu hana msalia mtume ni binadamu kujikweza na kuanza kushangikia kuitwa Mungu.
Adhabu yake kwenye Bible ni kifo.
Ndio ninavyojua mimi.
Kuna mfalme walimuita Mungu. Mungu mwenyewe akamuua.
Sasa ngoja tuone labda Lema dream come true.
Na reference ya ku-justfy madai yako ni huyu member.....! Janga....!Labda vijiji vya Congo lkn vya Tz havina utaratibu huo.
Pata jibu sahihi kutoka kwa mdau hapo chini.
Na reference ya ku-justfy madai yako ni huyu member.....! Janga....!
Mleta maada ulaaniwe maana umeandika uongo uongo. Dkt Magufuli (Ph.D) alipigiwa magoti na yeye akakataa kabisa kata kata kuwa yeye si Mungu na yule mama akasema wewe mungu wa pili na Dkt Magufuli keshasema yeye ni binaadamu hapaswi hata kupigiwa magoti, tena Dkt Magufuli kaongea kwa unyenyekevu huku yule mama akiinuliwa na wasaidizi wa rais kusisitiza na konesha yeye Dkt Magufuli si Mungu bali ni binaadamu. Ila wewe ulivyoandika kiuongo na baadhi ya mijitu mijinga ambayo haijasikiliza video yote inashabikia uongo na kutoa maoni ya uongo, mlaaniwe wote wenye kutumia uongo kueneza uongo.