Bibi amuita Magufuli 'Mungu' baada ya kupewa msaada

'Hujawahi kwenda vijijini ukakuta wamama na wababa wazee wakakwamkia ''shikamoo''?

Labda kijijini kwenu ndo kuna watu wazima wa dizaini hio.
Sasa kama mtu maeneo yako unayoyajua ni hapo kwa mtogole pekee, unafikiri tz nzima iko hivyo?
 
Labda hatujasikiliza vizuri hiyo clip. Kwanza Rais alikataa kupigiwa magoti na pia alisema "hapana" kuitwa mungu wa pili. Sikilizeni kwa utulivu, mimi niliona live huku Rukwa
 
Wengine tunasema dhana nzima ya kuwepo kwa Mungu imetengenezwa na watu tu.
 
Nguvu ya pesa.
Siku akija wapa maburungutu wadada wa mjini ataitwa majina yote, hendisamu, byutifuli, gentomeni.
 
exactly,na hutakiw kujibu marahaba,ni kuomba radhi hapo hapo na kutoa salam vizuri ndipo wataitikia salamu yako!kwa tuliokulia pwani huu ni utaratibu wa kawaida sijajua watu wa bara wao!
Yaani wanakua kama wanakukebehi flani hivi mkuu sio?
 
exactly,na hutakiw kujibu marahaba,ni kuomba radhi hapo hapo na kutoa salam vizuri ndipo wataitikia salamu yako!kwa tuliokulia pwani huu ni utaratibu wa kawaida sijajua watu wa bara wao!
Uko sawa kabisa mkuu,watu wazima wanaitumia sana hio style kurekebisha tabia.
 
Ulaaniwe wewe na hicho kikongwe chako, niwapi nimemlaumu jiwe? Nimeleta taarifa kama ilivyo, kwani nimelaumu mtu? Hebu soma uzi wangu vizuri, sana sana nimesikitikia kitendo cha binadamu kumuita binadamu mwenzake mungu, na wala sikumlaumu huyo aliyeitwa hivyo, maana si kosa lake, au ulitaka ninyamaze huku binadamu wakiita binadamu wenzao mungu? Hata hao wanaoitwa hawapendi waitwe hivyo, sasa ni lazima tukemee ili hii tabia ya kuabudu binadamu ikome, maana hata anayeabudiwa hapendi hilo, na ameliweka wazi.
 
Dkt Magufuli hakukubali kuitwa Mungu, ila mleta maada kaandika uongo
Wapi nimesema kwamba kakubali au kafurahia hilo? Au ni wapi nimemlaumu, kwani ni kosa lake kwamba huyo bibi hajitambui? We zezeta nini?
 
Nani kasema kwamba kaitwa mungu kwa ridhaa yake, mbona unakua zumbu kuku hivyo wewe...?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…