Bibi amuita Magufuli 'Mungu' baada ya kupewa msaada

Si amesha sema ataenda kuongoza na malaika uko mbingunj
 
'Hujawahi kwenda vijijini ukakuta wamama na wababa wazee wakakwamkia ''shikamoo''?

Labda kijijini kwenu ndo kuna watu wazima wa dizaini hio.

Cha ajabu ni nini? Hivi mtu kama huyo bibi kutokuelewa mambo kwa undani ni jambo la ajabu? Hujawahi kwenda vijijini ukakuta wamama na wababa wazee wakakwamkia ''shikamoo''?
 
'Hujawahi kwenda vijijini ukakuta wamama na wababa wazee wakakwamkia ''shikamoo''?

Labda kijijini kwenu ndo kuna wazima wa dizaini hio.
Iwe kijijini kwetu au hapana lakini la muhimu ni kuwa haya mambo yapo.
 
Watu wameondolewa kwenye umaskini na kupelekwa kwenye ufukara mpaka wanafikia hatua ya Kuwaita Mungu watu hao hao waliowasababishia ufukara huu wa kutupwa.

Hebu tujiulize ni watanzania wangapi mpaka sasa wametoka kwenye umaskini na kuingia kwenye ufukara katika awamu hii?

Hahahaa, kaona nafasi ya malaika haimfai, kamu upgrade kidogo.
 
'Hujawahi kwenda vijijini ukakuta wamama na wababa wazee wakakwamkia ''shikamoo''?

Labda kijijini kwenu ndo kuna watu wazima wa dizaini hio.
ninavyoelewa ukiwapita wakubwa bila kuwasalimia ndio wanakusalimia wao!!
 
Cha ajabu ni nini? Hivi mtu kama huyo bibi kutokuelewa mambo kwa undani ni jambo la ajabu? Hujawahi kwenda vijijini ukakuta wamama na wababa wazee wakakwamkia ''shikamoo''?
Kwamba bibi hajui maana ya Mungu?
 
Cha ajabu ni nini? Hivi mtu kama huyo bibi kutokuelewa mambo kwa undani ni jambo la ajabu? Hujawahi kwenda vijijini ukakuta wamama na wababa wazee wakakwamkia ''shikamoo''?
Dogo macho_mdiliko, kutoa shikamoo na kutukuza ni vitu viwili tofauti.
Hata babas wa Kichagga huwa wanatoa shikamoo kwa watoto wao wanaomiliki mpunga mnene. Utasikia, "shikamoo manangu!".
 
Kazi ya CCM hio, wamemfilisi Bibi wa watu hadi kachanganyikiwa! Dah
 
Hujui Bibi aliteseka kiasi Gani
Mpaka anakutana na Rais anayewasaidia wanyonge

Bibi ametoa baraka
 
MUngu hana msalia mtume.

Labda inawezekana hajui alitendalo kwa hio atasamehewa hatapewa adhabu kama ya yule mfalme wa kwenye Bible
 
Mwenye kosa nani? Bibi, magufuri!?
 
Ni akili iliyo huru tu ndiyo inaweza kusaidia macho kuona ulichokiona na masikio kusikia ulichokisikia katika hiyo video clip. Akili ikiwa mateka wa chuki na negativity, macho hayaoni na masikio hayasikii kinachojili na, hivyo, hutoa mwanya kwa akili kufanya retrieval ya negative material bila kujali uhalisia wa kilichojili!
 
Malaika mkuu uyo
 
Dogo macho_mdiliko, kutoa shikamoo na kutukuza ni vitu viwili tofauti.
Hata babas wa Kichagga huwa wanatoa shikamoo kwa watoto wao wanaomiliki mpunga mnene. Utasikia, "shikamoo manangu!".
Ni viwili lakini kwenye mazingira sawa i.e. inaonyesha kuwa mtu aliye kwenye matatizo na asiye na exposure ya kutosha akiona mtu mwenye uwezo wa kumsadia huona kama ameona mungu mtu. Ninachotaka kuonyesha hapa ni kuwa hata rais alimwambia kuwa anayetakiwa kutuzwa ni Mungu tu lakini kwa sababu ya chuki watu wanaandika uzushi wanaojua.
 
Sasa apo shida ni JPM au huyo bibi.
Ila ukiwa lofa nayo unaweza ongea chochote baada ya kusaidiwa au kutatuliwa shida zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…