FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,784
- 46,902
Alafu kila Sikh anaongea vitu hvyohvyo elimu Bure na blablaaaHuyu jamaa anapenda sana kutukuzwa.
Kuna Siku nilimsikia mzee wa upako akielezea jinsi Huyo mfalme alivyokufa,ni kwamba mda mchache baada ya kutoa hio hotuba yake na kusifiwa hadi kufananishwa na Mungu alianza kutokwa na funza huku huku nyama zikiacha mwili anajiona mpaka kaanguka chini na kufa.KAtika mambo ambayo Mungu hana msalia mtume ni binadamu kujikweza na kuanza kushangikia kuitwa Mungu.
Adhabu yake kwenye Bible ni kifo.
Ndio ninavyojua mimi.
Kuna mfalme walimuita Mungu. Mungu mwenyewe akamuua.
Sasa ngoja tuone labda Lema dream come turuuu
Watu wanaongozwa na chuki hapa. Bibi amepiga magoti, rais akamwambia ''inuka tu bibi'' anayestahili kupigiwa magoti ni Mungu tu''. Bibi akaongezea hata wewe ni kama mungu wa pili. Kwa kifupi rais amemjibu vizuri sana ila kutokana na uelewa wa bibi ndiyo akasema hivyo lakini siyo kweli kwamba rais alifurahia.Mimi nataka kujua reaction ya mkulu ilikuaje,
Na mimi nimeogopa kuiangalia
Huyo bibi atakua kilaza wa kanda hiyoKusema ukweli nimeona aibu kuiangali hii video, nimesoma tu heading kwenye video, maana ni aibu ilioje kuina na kusikia binadamu mwenzako akiitwa Mungu, nimeona aibu sana. Kwa wenye ujasiri wa kuangalia naomba muangali halafu mtuhadithie. Video ipo chini hapo.