Bibi amrusha mjuukuu nje ya dirisha basi likiwa mwendokasi

Bibi amrusha mjuukuu nje ya dirisha basi likiwa mwendokasi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Mmh DAMU YA YESU IKAWAHIFADHI. WATOTO WETU
BIBI MMOJA AKIWA USINGIZINI ALIJIKUTA AKIMRUSHA ,MJUKUU WAKE NJE YA DIRISHA HUKU BASI LIKIWA MWENDO KASI
BIBIHUYO ALIPOULIZWA ALIJIBU HAJUI KIOICHOTOKEA KABISA ALISIKIA TU KUSHTUKA NA KUMRUSHA ,NJE

HABARI ZAID SOMA
NIPASHE,GUARDIAN,

SRC STARTV/ITV
 
uwasilishaji wa hii habari duh?!
BTW hivi imetokea wapi hii mkuu Pdidy? ?
 
Last edited by a moderator:
Pdidy tafadhali fafanua ni bibi yupi kwakua tuna bibi mmoja ambaye anamsongo wa mawazo na zili hela za kwenye viroba zilizoingia kwenye 18 bila refa kuona lakini mashabiki wakaona!
 
Pdidy k'manina kabisa! We mtu gani hata huwezi kujifunza kutokana na uzoefu? Haki ya nani boss wako ana kazi, mie wala nisingekuhurumia ningekuwa nimeshakutimua kazi pa.mba.ff! Mtu unawasilisha kama litoto la darasa LA 3??!
 
Nimeisoma hii habari kwenye viblog,huyu bibi alikua anatoka dar anaenda kigoma walivo fika siginda,ndo alimtupa mtoto nje,mjukuu wake huyo alikua na miaka 6,katika utetezi wake amasema alikua kalala hakujua kinachoendelea zaidi alijikuta anapokea kipigo kutoka kwa abiria,mtoto alikufa mda mchache baada ya kufikishwa hospitali na kugundulika alipasuka fuvu.
 
Pdidy tafadhali fafanua ni bibi yupi kwakua tuna bibi mmoja ambaye anamsongo wa mawazo na zili hela za kwenye viroba zilizoingia kwenye 18 bila refa kuona lakini mashabiki wakaona!
Ndalilo uko sifiki wataninyanga nya nahela za mabweni nilizoomba
 
Manjagata chuokikuuu wangekuwanwanamwaga kilakitu tusingejazana. Library
Nikikupa src mns +na akiliyako ukajjue kilichotokea
Jpilo njema
 
Nimeisoma hii habari kwenye viblog,huyu bibi alikua anatoka dar anaenda kigoma walivo fika siginda,ndo alimtupa mtoto nje,mjukuu wake huyo alikua na miaka 6,katika utetezi wake amasema alikua kalala hakujua kinachoendelea zaidi alijikuta anapokea kipigo kutoka kwa abiria,mtoto alikufa mda mchache baada ya kufikishwa hospitali na kugundulika alipasuka fuvu.
Mtoto wa miaka sita unamtupaje dirisha kirahisi hivi??!!!
 
Ukimwangalia usoni samahaninduguzake anasuraya kichawiiiii live
 
Hivi yule bibi mzima kichwani?alipokuwa anahojiwa jana na ITV mbona nilimuona kama hajutii?!
 
uwasilishaji wa hii habari duh?!
BTW hivi imetokea wapi hii mkuu Pdidy? ?

Ilitokea Mkoani Singida na alikuja kushtuka pale alipopokea kipigo toka kwa abiria na alidai kuwa hakujua kilichokuwa kikiendelea bali aligundua pale abiria walipokuwa wakisema huku wakimshushia kipigo cha nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi yule bibi mzima kichwani?alipokuwa anahojiwa jana na ITV mbona nilimuona kama hajutii?!

Hakuwa na wasiwasi hata kidogo kama mtu aliyefanya kitendo kibaya. Nadhani ana mapungufu fulani kwenye akili yake ama sivyo alimtoa kafara ndo maana alikuwa akiongea kwa kujiamini kama ambaye hajafanya tukio lolote.
 
Nilimuona jana itv yule bibi ni mchawi kabisa, na alipokuwa akimtupa dirishani abiria walikuwa wakitazama tu, R. I. P mtoto
 
Mtoto Wa miaka sita anrushwaje dirishani kirahisi au wa miezi Sita?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom