Bibi amrusha mjuukuu nje ya dirisha basi likiwa mwendokasi

Bibi amrusha mjuukuu nje ya dirisha basi likiwa mwendokasi

HAkika nyakati za mwisho....ni nyakati zenye kuogofya.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nimeisoma hii habari kwenye viblog,huyu bibi alikua anatoka dar anaenda kigoma walivo fika siginda,ndo alimtupa mtoto nje,mjukuu wake huyo alikua na miaka 6,katika utetezi wake amasema alikua kalala hakujua kinachoendelea zaidi alijikuta anapokea kipigo kutoka kwa abiria,mtoto alikufa mda mchache baada ya kufikishwa hospitali na kugundulika alipasuka fuvu.

Poleni san wazazi wa mtoto huyo. Hivi wazee kafara halihusiki kweli hapo. ?
 
Hiyo process ya kumrusha mtoto wa miaka sita dirishani abiria wengine hawakuona?
 
Mmh DAMU YA YESU IKAWAHIFADHI. WATOTO WETU
BIBI MMOJA AKIWA USINGIZINI ALIJIKUTA AKIMRUSHA ,MJUKUU WAKE NJE YA DIRISHA HUKU BASI LIKIWA MWENDO KASI
BIBIHUYO ALIPOULIZWA ALIJIBU HAJUI KIOICHOTOKEA KABISA ALISIKIA TU KUSHTUKA NA KUMRUSHA ,NJE
HABARI ZAID SOMA
NIPASHE,GUARDIAN,
SRC STARTV/ITV
nahisi anamapepo,anahtaji kuombewa
 
ilitokea mkoani singida na alikuja kushtuka pale alipopokea kipigo toka kwa abiria na alidai kuwa hakujua kilichokuwa kikiendelea bali aligundua pale abiria walipokuwa wakisema huku wakimshushia kipigo cha nguvu.

mende hataa hii atakuja ajaelewa.....ni shida we ukiona sirudiii kujieleza imetoka mns waongeze na akili zao kuelewa
 
Hivi amerushwa kimazingara au kawaida? Hivi mtoto Wa miaka 6 abebwe, apitishwe dirishani, atupwe nje jirani anaangalia tu? Kwani nayo ni chupa tupu ya dasani? Watu wengine uzezeta umetufinya mpaka mwisho, ninavyojua seat za watatu huwa hatuachiani nafasi ya kuweza kufanya chochote kwa Uhuru kiasi hicho, maana hata kutupa kitu nje lazima umwombe jirani yako sembuse mtoto?!! Sipati picha kabisa!!
 
Ukiwa na bibi wa aina hii ujue balaa. Kabibi hakina wasiwasi kabisa. Utadhani katupa fupa la kuku baada ya kula mnofu! Nina wasiwasi na akili yake. La sivyo, ni mchawi aliyebobea.
 
alikuwa amelala anaota akajikuta anamtupa mtoto nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom