biashara zetu ziwe za kweli na halali

biashara zetu ziwe za kweli na halali

123cholo

Member
Joined
May 20, 2014
Posts
14
Reaction score
1
jamani hii inatokana na baadhi tunaoweka matangazo tunapotafutwa unakuta hatupatikani au unakuta kitu kinavyo tangazwa na ukikiona unakuwa hoi
Jamani tutoe sifa km kitu kinachouzwa kilivyo sio unaisifia nyumba kumbe nyumba hipo bondeni alafu mda wowote inabomoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom