Biashara za Wahindi zina tija kwa Tanzania?

Unajua action ya Amin ilisaidia kutoa nafasi ya Waganda wafanyabiashara weusi, kunyanyuka na kuwa wengi na mpaka sasa thats why waganda wengi ni wamefanikiwa kuwa kwenye biashara kucompete na wahindi! Empowerment of black indegineous bussiness people tofauti na bongo!

Sidhani Mshiiri anazungumzia upande huo ulioueleza.

Black hatuhitaji kuwa "empowered" maana sisi sio walemavu wa viungo au akili. Hatuhitaji kuwa na hofu yoyote kwa mafanikio waliyonayo watz-wahindi; tena ni vyema tukayachukulia mafanikio yao kama kichocheo na changamoto kwetu kufanya bidii kwa kujifunza kutoka kwao. Ili tupige hatua, tunahitaji challenges.
Watz-Wahindi wanayo link na India (waendelee kuwa nayo), hiyo nayo ina faida kwetu inategemea jinsi tutakavyoitumia fursa hiyo. Mfano mzuri angalia kwenye upande wa film production. Kuna vijana wetu wanasoma India, wengine wanafanya kolabo na Indians. Do you see the trend?

Kuwafukuza watz-wahindi sio suluhisho kwenye hoja ya Mshiiri - hii ni kwa jinsi nilivyoielewa hoja yake.
 
We nadhan utakuwa ndiyo unaeshirikiana na wahindi kuihujumu nchi..kama wale waliowasaidia kina jeetu patel kula fedha za umma..
Hujui unaloongea.nyamaza kimya.na wala huwajui wahindi.hata ungewapa security ya vipi hawakupendeni nyie weusi..wala hawana uzalendo..hawa waruhusiwe kuja kutalii hapa na kuondoka kwao..
 
Kutoka katika utafiti uso rasmi nimeambiwa wahindi hawa ambao tayari wako PUBLIC kuifanya nchi kinyume na maumbile WOTE NI FREEMASONS na hujifanya kama kawaida kuwa ni watu safi katika jamii. Wenye mchango wowote waubandike hapa ili tuweze kutathmini hali ya biashara zao na mwakisi jamii wao.

Hata hawa weusi wenzetu walio katika kundi la WABAKAJI WA NCHI nimeona list yao katika mkutano wao uliofanyika Arusha na LODGE yao kwa sasa naihifadhi ila nitaweka majina ya members wote wa FREEMASONS ambao ni influential Tanzania na kamwe tusingewajua nia zao. Nitakapo weka majina kisha ukatathmini matendo yao utajua. Kwani hujulikana kwa matendo yao. From family basis to the outside world. They are "SATANIC EVILS"

Huyu Don Andy Chande kwa kuanzia ni member na Malegesi ambaye ni lawyer lakini unaweza kuona ni jinsi gani ameshiriki katika KUBAKA NCHI

I am for now going back to my status----researching to update and then signed below as a proof
 
Labda tumconsult Tilkila kama naweza toa advice. Otherwise this i will drive us to more economic crisis.
 
Wahindi ni wabaguzi kuliko tunavyowabagua sisi waafrika na hakuna anayehoji hili.

Wahindi ni watoa rushwa kuliko mweusi hapa Tanzania na tukiwadhibiti hawa kwanza hata hiyo Takukuru haina sababu.

Wahindi ni wakwepa kodi namba moja.

Wahindi ni wezi wa raslimali zetu kwa jinsi isiyosemekana.

Wahindi wamewanunua viongozi wetu na serikali nzima kwa ujumla wake kiasi kwamba anaweza kukufanyia jambo lolote baya na akakupeleka wewe jela kwa malipo kidogo.

Nimeishi na wahindi na ninao rafiki wakubwa wa kihindi. Lakini ukija wasoma utagundua urafiki wao una jambo. Kama ana lengo fulani hata bed room yake atakupeleka uone anakolala na familia, atakukaribisha lunch na dinner tena nyumbani kwake,ataku introduce kwa familia yake wakujue ulivyo rafiki yake mkuu,atatayarisha hata party za heshima kubwa sana kwa niaba yako, na atakupa vizawadi vya ajabu ajabu ili kukushawishi jinsi alivyo rafiki yako. Sioni shaka akakugeuka akiona malengo yake yametimia.

Kubali msikuli wahindi si wenzetu. Lakini kwa sababu wadanganyika tunadanganywa hata kwa kupikiwa wali tu na kupewa tshirt na kapelo, sintashangaa kuona watetezi wengi dhidi yao kwa mgongo wa ubaguzi na uchumi fake.
 
Wahindi ni wabaguzi kuliko tunavyowabagua sisi waafrika na hakuna anayehoji hili.

Wahindi ni watoa rushwa kuliko mweusi hapa Tanzania na tukiwadhibiti hawa kwanza hata hiyo Takukuru haina sababu.

Wahindi ni wakwepa kodi namba moja.
Wahindi ni wezi wa raslimali zetu kwa jinsi isiyosemekana.

Wahindi wamewanunua viongozi wetu na serikali nzima kwa ujumla wake kiasi kwamba anaweza kukufanyia jambo lolote baya na akakupeleka wewe jela kwa malipo kidogo.

Nimeishi na wahindi na ninao rafiki wakubwa wa kihindi. Lakini ukija wasoma utagundua urafiki wao una jambo. Kama ana lengo fulani hata bed room yake atakuleka uone anakolala na familia, atakukaribisha lunch na dinner tena nyumbani kwake,ataku introduce kwa familia yake wakujue ulivyo rafiki yake mkuu,atatayarisha hata party za heshima kubwa sana kwa niaba yako, na atakupa vizawadi vya ajabu ajabu ili kukushawishi jinsi alivyo rafiki yako. Sioni shaka akakugeuka akiona malengo yake yametimia.

Kubali msikuli wahindi si wenzetu. Lakini kwa sababu wadanganyika tunadanganywa hata kwa kupikiwa wali tu na kupewa tshirt na kapelo, sintashangaa kuona watetezi wengi dhidi yao kwa mgongo wa ubaguzi na uchumi fake.

Mkuu umesema vyema kabisa.
Kuna binti mmoja wa kizigua tunakaa mtaa mmoja kazaa na mhindi mtoto wa kiume.Mhindi kamjengea nyumba kwa masharti asitoe siri kwamba kazaa na mwafrika kwasababu atatengwa na jamii nzima ya kihindi.

Wahindi hawashirikiani na waafrika katika shughuli zozote za kijamii kama misiba,harusi na nk.Huwezi kuwakuta wahindi katika ajira za serekali kama JWTZ,Polisi,Magereza au mahakamani.
Mimi huwa napata shida sana kuwaelewa wananchi wa mkoa wa Morogoro kwanini kila uchaguzi unapowadia wanatuletea wabunge wenye asili ya kiasia [india].Wabunge wengi wenye asili ya kiasia [kihindi] kama si wote hawana michango inayowawakilisha wananchi waliowachagua,sana sana wako pale kuhakikisha maslahi yao na jamii yao yanalindwa.

Watanzania tubadilike wahindi wanachagia kwa sehemu kubwa kudididmiza uchumi wa taifa letu.Wapo hapa Tanzania kwaajili ya kututawala ndiyo maana wanakimbilia kwagharama kubwa kuwa pale mjengoni.Ukilinganisha idadi ya raia wenye asili ya kihindi na wabunge walioko pale mjengoni ni sawa na kifo na usingizi.
 
ni kweli kabisa
 
Tuangalie kwa mtazamo mzima wa hali ya nishati nchini; umeme na mafuta. Role play ikoje?
 
For a long time have been on other matters BUT today I thought of throwing some lights again on here :)

Ki-utafiti zaidi
Kuna jambo limenifanya nirudi tena hapa. Imefahamika kuwa population ya wahindi Tanzania ni chini ya 150,000 nchi nzima (est Nov, 2014) na kwa utajiri wanamiliki 75% ya utajiri unaomilikiwa nchini wakati 25% ni ya siye matumbi na wengineo.

Sasa swali pengine limekaa vizuri sasa, je serikali hata je?
1. Serikali inapata 75% ya kodi kutoka kwao?
2. Na je maendeleo ya nchi yanasukumwa kwa 75% na wahindi??

Labda tuendelee hapo
 
Kumbe upo hai? Mshukuru Allah muumba manake mi nikiona thread za muda mrefu hivi sitegemei muanzisha thread kuwa hai. teh teh teh...
 
Back
Top Bottom