Biashara za Wahindi zina tija kwa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara za Wahindi zina tija kwa Tanzania?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mshiiri, Aug 4, 2009.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kwanza mimi mwenyewe nimezaliwa Tanzania na kukulia katika jamii ya uwezo wa kati kiuchumi.

  Kwa leo kuna jambo moja ningependa sote kwa pamoja tuangalie kwa makini hili suala la Watanzania wenye asili ya KIHINDI. Kamwe si jambo la ubaguzi kwao ila ni kufikiri ubaguzi wanaoufanya kwa ardhi, mali na watu wazalendo wa Taifa hili.

  Kwanza tuangalie biashara zao na uchangiaji wa maendeleo ya jamii inayowazunguka na uchumi wa Taifa kwa ujumla.

  Kwa miaka mingi sasa wahindi walio wengi wameonekana wakifanya biashara Tanzania lakini hamna lolote linaloonekana kimaendeleo katika jamii inayowazunguka au wanayoizunguka. Wanaishi kwenye nyumba za NHC na hawataki kabisa kujenga makzi ya kudumu. Hapa ni kwa nini? Je serikali ina miongozo gani katika investment? Fedha zao na mapato yao wanapeleka wapi? Je kuna faida wao kufanya biashara?

  Tena ndio mafisadi namba moja wa nchi kwa kuwa huchuma fedha na kupeleka nchi za nje mathalan CANADA, UINGEREZA, na kwingineko na hivyo kuchangia sana kuyumba kwa uchumi nchini. Hawakui kibiashara kwa mionekano ya kuchangia maendeleo bali ni kuonekana vile vile tangu miaka yote ingawa wanapata fedha nyingi sana na hata kodi wanakwepa. Kunako miaka ya themanini mwishoni na tisini mwanzoni hivi nilienda dukani kwa HINDI moja pale mitaa ya UHURU na kununua TV HITACHI, na gharama yake ilikuwa 155k na hili HINDI likadai sasa nikitaka risiti itakuwa 160k nikitaka bila risiti itakuwa 155k.

  Nikakataa kabisa kwa kuwa ni fedha yangu ile ile anaiba. Nikamweleza kuwa haiwezekani patachimbika hapa! Akaniulizia 155k na risiti na nikamwambia nitamripoti. N anilifanya hivyo hawa jamaa wa MAKODI wakasema watamfuatilia na sijui ilkoishia najua ilikuwa loop ya kupata kitu kidogo na hamna lililofanyika.

  Tizama pia list ya mafisadi na wahujumu uchumi tangu enzi wote ni WAHINDI. Ni nini jamani TANZANIA?

  Watanzania walioanzisha biashara miaka mitatu tu utakuta wameanzisha ama hotel, ama hospitali ama shule na kutoa nafasi za kazi na kuchangia maendeleo ya nchi. Hawa wahindi je?

  Hawana mapenzi na Tanzania kwa kuwa hata katika kada tofauti na biashara wahindi hamna au ni mmoja akizidi. Mfano hatuna MHINDI polisi, mwalimu shule ya msingi. Hupenda sana white collar na ufisadi. Serikali na usalama wa taifa, msilinde tu usalama wa viongozi na misafara. Chunguzeni jamii fulani inafanya nini, kwa sababu gani, kwa njia zipi na tija kwa taifa ni nini? Acheni ubinafsi, MASLAHI YA TAIFA yawe mbele kama nyuso zetu.

  Hizi ni fikra zangu za UTAIFA.
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mshiiri,
  Niliingia hapa kupinga bandiko lako nikiamini ni issue ya kibaguzi zaidi. Nimeamua kukaa pembeni kwanza, maana naona kuna hoja ya msingi hapa.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hawa wako kwenye tanzania ya kwao,hawataki kushiriki hata kwenye shughuli za kitaifa kwa mfano sikuu za nanenane,ukimwi duniani,siku ya mwanamke labda awe rotery club ambako wajipatia pesa kutoka vyama vya rotery kidunia labda mbunge,sasa utawaona wataanza kutoa sana misaada si tunakaribia 2010 ili CCM iwaweke kwenye kugombea ubunge.
  Wahindi matajiri zaidi walioko uingereza ,Canada na marekani wengi walitokea Tanzania kwa hiyo wanavuna wanhama ndio maana hawajishughulishi
  Hivi kwa nini maeneo yao hayaingiliki
  angalia na wasomali pia sio wahindi tuu
   
 4. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sio wote kuna wachache kama Mzee Al Noor Kassum alikwa mzalendo. Ila ni kweli. Most of them have their body in Tanzania, their heart in India and their money in Canada!
   
 5. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #5
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wahindi wanatumaliza..hilo halina ubishi..na sie watanzania tumelala sana tu..akuanzae mmalize..sasa wao wametuanza muda kitambo sana hawa wahindi..nchi wameimaliza wakishirikiana na wenzetu weusi wachache wasiokuwa na uzalendo..sasa nadhan ni wkt nasi tutafute njia ya kuwamaliza wahindi hawa wako wachache sana na ndiyo maana wakishirikiana pa1 na weusi wenzetu kuhujumu nchi.
  mtanisamehe wahindi..mimi kwangu, mtanzania maskini mweusi kwanza..akipata mihela yake ana invest hapa hapa kwetu..sio biashara ya kujidai tusiwabague wkt wanatumaliza mahela wanayapeleka nje sie twabaki maskini..ujinga huo tumeuskilizia sana lkn sijaona nafuu..hali za wenzetu weusi zinazidi kuwa mbaya..wahindi wanajinufaisha..wangewekeza hapa kwetu nisingesema neno..lkn mihela yaneda india na canada na marekani..na wake zao wakipata mimba waenda kuzalia canada na uingereza na marekani..hapo wapata picha kuwa hawana mpango wa kuwaendeleza nyie na hawana mpango na uraia wenu..
  amkeni wandugu.
   
  Last edited: Aug 4, 2009
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  tatizo watanzania weusi ni 'wakarimu' sana. watanzania nunueni kwa wabongo wenzenu!! kwa namna hii tutapunguza hii hela inayotorokea nje. siku nitakapoona mhindi kajenga na kuishi hapo, ndipo nitakapoacha kuwatazama vibaya
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,656
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo Wahindi hawamiliki mashule, mahoteli na mahospitali? Tafuta kwanza ratio kati ya Wahindi katika idadi ya raia wote nchini halafu na idadi ya mashule, mahospitali na mahoteli zinazomilikiwa na Wahindi.
   
  Last edited: Aug 4, 2009
 8. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Umasikini wetu,uvivu wetu,living only for the present and not for the future,blah,blah nyingi badala ya vitendo isiwe sababu ya kutafuta SCAPEGOATS.hizi witch hunts at most zinaipeleka nchi katika abyss-waulizeni waganda wakati wa idi amin
   
 9. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na ukitaka kuthibitisha hili angalia kwenye Kesi ya EPA ndio utajua na angalia kila mmoja ushiriki wake na hela alizochota
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Hofu zenu tuu!
  Usisahau, hoja hujibiwa kwa hoja.
   
 11. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  katoroshea hela yake yote oxford
  ana retail centre kubwa tu na ina movie theatre na kuna uwanja pembeni yake unaitwa kassum stadium....
  nimefika hapo napajua sio kama namsingizia
  ni wakwepa kodi na wanatorosha hela nje ya nchi na kassum ni mfano
   
 12. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tumelala na ukitaka kusema lolote kuhusu hilo unalaaniwa ooh mbaguzi wa rangi, hoja ipo palepale je kama we ni mtaifa wa taifa fulani, hautakuwa na uchungu na taifa lako? manakumbuka uchaguzi 1995? wahindi kibao kama sio wote walikimbia nchi, walikimbiza hela zao nje, walifunga biashara zao, hadi uchaguzi ulipopita, walihisi mrema angeshinda na vita kutokea, so hawa sio wenzetu nawaambieni, tusiwafukuze but tuwabane tuu, now who will bell the cat? na serikali ndo inawaqkumbatia ? kuchukua hela za election?tupo pabaya sana, labda tubanane man to man na wahindi mitaani, kuanzia waondoke NHC na kulazimishwa kujenga!!
   
 13. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Angalia hii uone kama ni utani au mzaha!!! Alaa!
   
 14. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mwaka ujao wa 2010 utakuwa na pilikapilika nyingi na ndio mwanzo wa mabadiliko kuhimizwa nchini Tanzania.

  Ni ule mwaka ambao sisi watanzania itabidi tutumie akili na busara katika kufanya maamuzi kwenye masanduku ya kura.
   
 15. Makalangilo

  Makalangilo Senior Member

  #15
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya kuona kuwa Wahindi hawajengi mashule ,mahospitali .nk tuwafanyeje sasa?Tuwafukuze kwenye nyumba za NHC kwanza,halafu tuwanyan'ganye leseni za kufanyia biashara au kuwawekea masharti magumu.Ikishindikana basi tuchukue mfano wa Iddi Amini.
  Maduka yao turithishwe Wazalendo wa kweli wenye uchungu na nchi na serkali ihakikishe inatoa mitaji mikubwa ili Waswahili tupige hatua kiuchumi.
  Baada ya kuwaondoa nchini nadhani nchi hii itakuwa na raha na wengi tutakuwa martajiri.Hii si ubaguzi ila ni kuwapa wazalendo na kuwawezesha kupata maendeleo.
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Tanzania ina matatizo mengi yanayotufanya kuendelea kuwa maskini wakubwa ingawa tuna utajiri mkubwa wa rasilimali nyingi kama ardhi,madini,maziwa,mito,bahari,mbuga za wanyama na nk.Matatizo yote yanayohusiana na rasilimali nilizoziorozesha hapo juu tunayadili kwa uwazi mkubwa tena bila wasiwasi wowote.Tunajadili rushwa kwa uwazi,tunajadili ufisadi kwa uwazi pia tunajadili uongozi mbovu kwa uwazi lakini tunapojadili ubaradhuli wa wahindi hisia za ubaguzi zinatumika kama kinga.

  Kuna makampuni mengi ya hawa wahindi ambayo yanafanya biashara nzuri lakini yanaendesha ubaguzi wa ajabu nitayataja machache ninayoyafahamu hapa mjini Arusha.Mount Meru Group,Leopard Tours,A to Z,Sunflag na Fiberboard.
  [1]Ajira za kampuni zote hizi hasa nafasi za managers ni lazima uwe mhindi.Wamiliki wa hizi kampuni wako tayari kutoa fedha nyingi kuwaleta wafanyakazi kutoka India au Pakstani kuja kufanyakazi zinazoweza kufanywa na raia wa kitanzania.Matajiri wa hizi kampuni wanatumia udhaifu wa idara ya uhamiaji kufanikisha mipango yao.

  [2]Kampuni za kihindi zinakuwa na vitabu viwili,1.Home accounts hivi ni vitabu vinavyoonyesha faida halisi na mwelekeo wa kampuni.2Afrika accounts hivi ni vitabu kwaajili ya TRA,BREILA na serekali mahesabu mara zo0te yataonyesha kampuni iko katika hali mbaya au hakuna ongezeko kubwa la faida.

  Kukua au kudidimia kwa biashara za wahindi hakuna tija kwa taifa kwasababu mosi hawalipi kodi stahili TRA.pili hawatoi ajira kwa usawa kwa watanzania,tatu wahindi ni wabaguzi,nne wahindi ni wanahamisha fedha nyingi nje ya nchi na hivyo kusababisha mzunguko mbovu wa fedha.

  Watanzania ifiike mahali tukaanza kususia bidhaa na huduma za wahindi

  Naomba kuwasilisha
   
 17. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,656
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Acha hiyo! Lawama kama hizi rahisi kuwatupia Wahindi badala ya Watu na mazingira duni na dhaifu yanayowaruhusu wafanye madudu kama haya?
   
 18. B

  Bunsen Burner Member

  #18
  Aug 4, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Unajua action ya Amin ilisaidia kutoa nafasi ya Waganda wafanyabiashara weusi, kunyanyuka na kuwa wengi na mpaka sasa thats why waganda wengi ni wamefanikiwa kuwa kwenye biashara kucompete na wahindi! Empowerment of black indegineous bussiness people tofauti na bongo!
   
 19. F

  Fadhila Member

  #19
  Aug 4, 2009
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa tunalaumu wahindi wakati makosa ni yetu wenyewe wabantu. Kwani hizo fedha za EPA nani aliwafanyia mipango huko mabenki na serikalini? Ukwepaji wa kodi nani anawapa mipango hiyo? Nakubaliana na Njabu kwamba tusitupe lawama kwa wengine tujisafishe sisi wenyewe kwanza.

  Sisi wabantu tukianza kufanikiwa kidogo tu kibiashara hata mambo hayajakaa vyema basi hapo ni kuanza kujenga mjengo mkubwa wa vyumba vingi, kununua gari kubwa V6 na V8 na matumizi mengi mengi yasiyokuwa na hesabu (nyumba ndogo na kadhalika!). Vyote hivo tunakula mtaji bila ya kutambua. Muhindi yeye atabaki national housing na watoto wake (extended family) kumbe anasaidia kupunguza matumizi mpaka atapojiimarisha vyema.
   
 20. S

  Shamu JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiwalaumu Wahindi kwa matatizo ya nchi nzima. Kuna Wahindi wengi ambao wanafanya mambo mengi tu Tanzania. Kwa mfano, Prof.Issa Shivj, Mohammed Dewji nk. In addition, kuhama kwa Wahindi TZ kunasababishwa zaidi na matatizo tuliyokuwa nayo sisi Watanzania. WTZ wengi wanawafanya Wahindi ni kama second citizens. Hadi wanasiasa kama Mrema, Mtikila walikuwa wanatumia kampeni za uchochezi dhidi ya Wahindi. Kuna wakati Wahindi walikuwa wanaogopa kwenda hata Manzese kwa hofu ya kupigwa na watu. Kumbuka yule mrembo wa kihindi aliyeshinda kuwa Miss TZ; watu walikuwa wanapinga kwamba si Mtanzania; kwa sababu alikuwa Mhindi. Sasa kama wewe ni Muhindi na unafanya biashara TZ utafanyaje? kama si kuogopa na kuweka hela zako nje ya nchi.
  Najua kwamba wapo wahindi wachache ambao ni Mafisadi, kama watu wengine au makabila mengine; lakini siyo Wahindi wote ni mafisadi.
   
Loading...