Biashara yenye wateja wa uhakika

Biashara yenye wateja wa uhakika

Kwenye high risk ndo kwenye high gain,
Ngoja risk taker waje!!
Ni kweli kabisaa, ila hapo inabidi uchague risk unayoimudu.

Ni heri kukosa pesa ila ukalala usingizi mzuri kuliko kuwa na pesa ukakosa usingizi kwa moyo kupanuka kwa presha.
 
Mi
Mkuu amini kila unachokipanda utakivuna tu, nikushauri usipende kuhukumu bila kuwa na uhakika maana kwa kipimo hicho hicho nawe utavuna. Kinachonitofautisha mimi na wewe ni uwezo wa mind kuchanganua mambo mimi niliona mlango ila wewe umeona ukuta, uko sawa.

Thread iko wazi, weka ushahidi hapa kila mtu aone, au yeyote anaweza kufanya hivyo pia.
mimi nilipanda 10m DECI nikavuna mabua, kwa hiyo nilijifunza vya kutosha.
Hivi nyie mnamuamini Mungu huyu huyu wetu, au mna Mungu wenu?
 
Mi

mimi nilipanda 10m DECI nikavuna mabua, kwa hiyo nilijifunza vya kutosha.
Hivi nyie mnamuamini Mungu huyu huyu wetu, au mna Mungu wenu?
Hakuna pesa za bure lazima ufanye kazi. Andiko langu halina uhusiano na hicho unachokieleza wewe, una tatizo la uelewa.
 
Faida kwa kilo moja ni silingi ngapi ili nione kama nkitoa hyo 50% ntabakiwa na kiasi gani kama faids
 
TAPELI HUYU
Weka ushahidi mezani tuanzie hapo, kubomoa huwa ni rahisi sana kuliko kujenga.
Afu nikwambie si kila mtu ni wa kumchafua ama kumdhulumu haki yake, wenye tabia kama yako(wachawi) huwa wanapima kwanza.
Jifunze usije ukaishi maisha ya laana.
 
Back
Top Bottom