Bila Shaka hii ni kithomi inaitwa "Conversational Implicature" bila Shaka sio bundi huyu tumjuaye sasa mkuu funguka kidogo kweli ni Bundi au Madege ya Jiwe letu la pale ferry
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mzee wa mijibundi, hapo ndo utakumbuka usemi usemao tamaa mbele mauti nyumakarma inanimaliza mzee...... bora ningemwacha yule kasuku ningekuwa sasa nina kisingizio kuwa ananihujumu
Asante kwa pole isiyo na msaada.Pole sana mzee wa mijibundi, hapo ndo utakumbuka usemi usemao tamaa mbele mauti nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka bundi wangu nimuuze kwa bei ya kifaranga cha churaTumesikia umepeleka bundi mmoja kumuuza huko Kenya vipi biashara iliendaje?
Mnishauri nini nyie? Mke wangu mwenyewe nimemtimua kitandani, nalala na mafaili, wala hayanisumbui kuwa hujanifikisha Nataka tenaHukutaka ushauri kabla ya kuanzisha biashara hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnishauri nini nyie? Mke wangu mwenyewe nimemtimua kitandani, nalala na mafaili, wala hayanisumbui kuwa hujanifikisha Nataka tenaHukutaka ushauri kabla ya kuanzisha biashara hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaweee....hii midege aina ya mibundi nasikia inaletaga uchuroUsinicheke nisaidie mwenzenu naangamia. Nilisahau kuwa kila mchimba shimo huingia mwenyewe. Nimeharibu na kuroga biashara za wenzangu, kumbe wangefanikiwa kwenye biashara zao na kupata fedha wangeweza kutumia uchawi wangu wa bundi na mimi in return ningepata pesa
Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
Hahahaha
Mkuu ndege wote hawa wanaofugwa umekosa hadi kufuga mabundi? Anyway lakini Tz ili utoboe lazima ufanye mambo ya ajabu ajabu kimtindo
Mi nitafuga kunguruNa wewe fuga majenje
Kwa definition ya uchochezi ya awamu hii, huu ni uchochezi.Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.