Biashara yangu ya Bundi imenidodea

Biashara yangu ya Bundi imenidodea

Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
Majirani zako wenyewe wanapata hasara tena ya kutosha, ila wewe sasa nadhani hasara yako ni kubwa zaidi hata kabla ya kuanza
 
Sasa babu kaniongezea bundi mwingine mzee.... nasikia Ana miaka 50. Hawa nilionao ni mzigo kwangu, hamna biashara, babu naye ananiongezea lijibundi zeeèeee..... si balaa hili?
Bundi limepakwa rangi ya kucha kwa mamilioni. Mweee

Ila mkuu hapa mtaani kwetu unaheshimika sana kwa kuwa na hiyo mijibundi. Sifa zako zimeenea kila mahali kwa jinsi ambavyo umeweza kuendesha kilimo cha bundi kilichowashinda watangulizi wako hapo kabla. Sasa hivi wewe na wanao mnatembea kifua mbele kwa kumiki mijibundi yenye afya tele hata kama kwenye uchawi hai pafomu kiviile sio haba 😀😀
 
Si uwauzie majirani kwa Nusu bei hao Bundi wako!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshasema aliwanunua kwa mbwembe nyingi hao bundi na kwamba angekuwa juu juuu zaidi ya Pierre nkonki likwidii fayaaaa.....sasa aje aonekane kayauza kwa majirani zake Tena kwa nusu bei,
Sura yake ataifichwa wapi mkuu au utamsaidia kuona aibuuuu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu hapa mtaani kwetu unaheshimika sana kwa kuwa na hiyo mijibundi. Sifa zako zimeenea kila mahali kwa jinsi ambavyo umeweza kuendesha kilimo cha bundi kilichowashinda watangulizi wako hapo kabla. Sasa hivi wewe na wanao mnatembea kifua mbele kwa kumiki mijibundi yenye afya tele hata kama kwenye uchawi hai pafomu kiviile sio haba 😀😀
Acha tu tujipe moyo kuna siku mijibundi itageuka kuwa tausi
 
Ameshasema aliwanunua kwa mbwembe nyingi hao bundi na kwamba angekuwa juu juuu zaidi ya Pierre nkonki likwidii fayaaaa.....sasa aje aonekane kayauza kwa majirani zake Tena kwa nusu bei,
Sura yake ataifichwa wapi mkuu au utamsaidia kuona aibuuuu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu majirani wenyewe wana mdomo hao!!!!
 
Sasa babu kaniongezea bundi mwingine mzee.... nasikia Ana miaka 50. Hawa nilionao ni mzigo kwangu, hamna biashara, babu naye ananiongezea lijibundi zeeèeee..... si balaa hili?
Bundi limepakwa rangi ya kucha kwa mamilioni. Mweee
Na lile lijibundi lako ulilolipeleka kwa jirani ulishindwaje kuliuza au jirani zako hawajui uchawi wa kuroga watoto zao waumwe hata vichwa nasikia umeshaanza kutukana watoto wako kuwa hawakuelewi🤔🤔🤔hawakuelewi au wewe ndo uelewi mambo ya sales na marketing katika biashara yako ya mijibundi mkuu
 
Hilo lijibundi mulilolipaka rangi ya kucha si ulipeleke mombasa mana lile lingine lilishavuka border, sijui sijui kwenye umisi
 
Na lile lijibundi lako ulilolipeleka kwa jirani ulishindwaje kuliuza au jirani zako hawajui uchawi wa kuroga watoto zao waumwe hata vichwa nasikia umeshaanza kutukana watoto wako kuwa hawakuelewi🤔🤔🤔hawakuelewi au wewe ndo uelewi mambo ya sales na marketing katika biashara yako ya mijibundi mkuu
Mkuu acha tu niungame. Nilikurupuka. Sina business plan wala strategies za kufanya biashara za bundi niziendeshe kwa faida na weledi, naendeshwa na kiki tu ili nimfunike baba na kaka zangu wakubwa walionitangulia
 
Hivi ukijikwaa kabla ya kuanza safari unarudi kulala?
We ni mtu mzima hurudi kulala watoto watakushangaa wakati umewaaga kwa mbwembwe zote watajua yule kamongo waliyemsikia ukimtamka tamka kuwa ni wewe, cha kufanya ni kunyanyuka, kujifuta vumbi na kuendelea na safari. Muapiza la ndani upata la nje
 
Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa

Hebu weka picha mkuu niwaone, naweza nikachagua hapo wangu nane...
 
Bila Shaka hii ni kithomi inaitwa "Conversational Implicature" bila Shaka sio bundi huyu tumjuaye sasa mkuu funguka kidogo kweli ni Bundi au Madege ya Jiwe letu la pale ferry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili walisema "MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO" tafuta namna ambayo unaweza tumia hao bundi wako. Unaweza tumia hata kusafirisha tu vitu tudogo tudogo nakumbuka zamani njiwa walitumika kupeleka taarifa kwa watu. Refer hata wimbo wa "ewe njia ewe njiwa peleka habari..."

Sasa wa train hao bundi wako wabadilishiwe
Shughuli za kufanya... Lakini pia haiwezekani hata ukaanza tangaza kwa watu kuwa nyama ya bundi inaongeza nguvu za kiume,inaponywa ukimwi,inazuia cancer,inaleta mvuto wa mapenzi,inaleta utajiri n.k? Fanya hivyo....tengeneza uhitaji halafu uza hiyo mijibundi yako na vikinda vyake.

Siku nyingine Ukitaka Kukimbia Agana na nyonga.

[QUOTE="Bujibuji, post: 31050880, member: 13443"
Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
[/QUOTE]
 
Waswahili walisema "MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO" tafuta namna ambayo unaweza tumia hao bundi wako. Unaweza tumia hata kusafirisha tu vitu tudogo tudogo nakumbuka zamani njiwa walitumika kupeleka taarifa kwa watu. Refer hata wimbo wa "ewe njia ewe njiwa peleka habari..."

Sasa wa train hao bundi wako wabadilishiwe
Shughuli za kufanya... Lakini pia haiwezekani hata ukaanza tangaza kwa watu kuwa nyama ya bundi inaongeza nguvu za kiume,inaponya ukimwi,inazuia cancer,inaleta mvuto wa mapenzi,inaleta utajiri n.k? Fanya hivyo....tengeneza uhitaji halafu uza hiyo mijibundi yako na vikinda vyake.

Siku nyingine Ukitaka Kukimbia Agana na nyonga. Usikurupuke tu.

Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom