Biashara yangu ya Bundi imenidodea

Biashara yangu ya Bundi imenidodea

Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
Tuuze kwa mnada hiyo midege halafu hela tujengee madarasa
 
Miongoni mwa watu wachache sana, nimeonana nao na wanafahamu siri hii Ni Wangari Maathai
Bujiku ww una akili...sijui umezidi utani? Ahahaha....nakukumbuka enzi zile tunashindwa vihesabu unakuja kutusolvia fast🤣🤣! Tukawa tunasema huyu kaka kwan anasoma hapa au..wanajibu ah hawa wahuni tu...hahaha siku nakufumania ifm🤣🤣 shenz kwel ww
 
Bujiku ww una akili...sijui umezidi utani? Ahahaha....nakukumbuka enzi zile tunashindwa vihesabu unakuja kutusolvia fast🤣🤣! Tukawa tunasema huyu kaka kwan anasoma hapa au..wanajibu ah hawa wahuni tu...hahaha siku nakufumania ifm🤣🤣 shenz kwel ww
Hah hah hahhhhhh, Kuna mtu nilikutana naye kwenye darasa la Masters, sikuwa naingia darani tukaonana kwenye mtihani, enzi hizo nafanya kazi hazina, akaenda kunitangaza ofisini kwamba mi ni mpelelezi, nikachukiwa ofisi nzima🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom