Inaoneka wafanya biashara wazuri wengi hawapati information wanazohitaji kufanya uamuzi. Kwa sababu hii, naomba mchango wa mawazo tutafute ufumbuzi. Kupata habari kuhusu soko, ni muhimu ili mjasirimali awe na kanguvu wakati kupatana bei. Na wakina mama wenye kulima kashamba kavitunguu, wanaweza kuuza bei nzuri kwa bidhaa zao, badala ya kuranguza kwa bei ya chini sana baada kuvuja jasho.