huyo primi sas hv amejikita kwenye real estate hashushi sana vitenge kama zamaniwauzaji wakubwa wa vitenge k/koo ni primi mushi na salome mgaya mama bonge hawa watu ni hatari na nusu mizingo haishikwi ovyo
ushuru wa vitenge sasa hv ni mkubwa sana hawapati faida kama zamanihuyo primi sas hv amejikita kwenye real estate hashushi sana vitenge kama zamani
Kuna mwezi fjlani nyjma kidogo kama sio August au september TRA ili waita wadau wa hii biashara ili TRA na wadau hao washirikiane ktk kuangalia upya makadirio ya kodi zao kama sikosei aisee ilikuwa live wasafi fm.asubuhi ktk kipindi cha morning breakfast. Aisee wale wafaanya biashara walijifanya kulia eti wanapigwa kodi kubwaaa sanaaKuna mikondo ya pesa wengi wetu hapa tunaisotea kwa udi na kwa uvumba! Wengine wanaroga kabisa ili waweze kuikamata. Kuna mitandao haramu ya biashara yenye faida za kufuru madini yanasubiri!
Vitenge biashara iliyohitaji elimu kubwa na uwekezaji wa wataalam ni biashara kubwa yenye mitandao ya kutisha inaguka kuwa biashara haramu sasa.. Maana watu wameshanogewa lakini mamlaka nazo sasa ndio zinakumbuka shuka asubuhi kukiwa kumeshapambazuka
Kuna nguvu ya kimamlaka inajaribu kuuvunja huu mtandao lakini bila kujitoa na kuongeza nguvu kubwa hawatafika popote. Watakamata vidagaa tuu na pumzi itakata
Ona hii magazijuto Kisha jiongeze!
Mwanamama kakamatwa Dodoma na mamlaka ya mapato kwa kosa la kutodai risiti ya mzigo wa vitenge alivyonunua .. Anashtakiwa kwa makosa mawili
1. Kutodai risiti
2. Kutotoa ushirikiano kwa maofisa alipotakiwa kuonesha mahali aliponunua mzigo
Huyu ni mbuzi wa kafara tuu... Hiyo mizigo wanaipata kimagumashi.. Mitandao ndio inafanya kazi..hakuna vituo rasmi ni kupeana juu kwa ju!
Siku mbili nyuma zimekamatwa gari na mzigo mkubwa wa vitenge mkoani lindi.. Mzigo haukuwa na nyaraka na ikasadikika ni mzigo wa magendo.. Mikwara mingi sana ikapigwa!
Mwezi uliopita zilikamwata container zenye mzigo wa kutosha wa vitenge .. Mzigo uliandikwa ni mashuka yako transit kumbe ni vitenge vinaenda kushushwa Tabata na wakahusishwa wazito hasa wakubwa
Tengeneza hilo picha la pyramid kuanzia Dar, Lindi mpaka Dom uone namna huo mtandao ulivyo mkubwa!
Je vijana wenye uchungu na nchi yao wanaojaribu kujitolea mustakali wao wauvunje huu mtandao wa biashara haramu ya vitenge watafanikiwa?
Awamu walioisubiri kwa hamu hatimae imefika....mengine maigizo tu tunaoneshwaKuna mikondo ya pesa wengi wetu hapa tunaisotea kwa udi na kwa uvumba! Wengine wanaroga kabisa ili waweze kuikamata. Kuna mitandao haramu ya biashara yenye faida za kufuru madini yanasubiri!
Vitenge biashara iliyohitaji elimu kubwa na uwekezaji wa wataalam ni biashara kubwa yenye mitandao ya kutisha inaguka kuwa biashara haramu sasa.. Maana watu wameshanogewa lakini mamlaka nazo sasa ndio zinakumbuka shuka asubuhi kukiwa kumeshapambazuka
Kuna nguvu ya kimamlaka inajaribu kuuvunja huu mtandao lakini bila kujitoa na kuongeza nguvu kubwa hawatafika popote. Watakamata vidagaa tuu na pumzi itakata
Ona hii magazijuto Kisha jiongeze!
Mwanamama kakamatwa Dodoma na mamlaka ya mapato kwa kosa la kutodai risiti ya mzigo wa vitenge alivyonunua .. Anashtakiwa kwa makosa mawili
1. Kutodai risiti
2. Kutotoa ushirikiano kwa maofisa alipotakiwa kuonesha mahali aliponunua mzigo
Huyu ni mbuzi wa kafara tuu... Hiyo mizigo wanaipata kimagumashi.. Mitandao ndio inafanya kazi..hakuna vituo rasmi ni kupeana juu kwa ju!
Siku mbili nyuma zimekamatwa gari na mzigo mkubwa wa vitenge mkoani lindi.. Mzigo haukuwa na nyaraka na ikasadikika ni mzigo wa magendo.. Mikwara mingi sana ikapigwa!
Mwezi uliopita zilikamwata container zenye mzigo wa kutosha wa vitenge .. Mzigo uliandikwa ni mashuka yako transit kumbe ni vitenge vinaenda kushushwa Tabata na wakahusishwa wazito hasa wakubwa
Tengeneza hilo picha la pyramid kuanzia Dar, Lindi mpaka Dom uone namna huo mtandao ulivyo mkubwa!
Je vijana wenye uchungu na nchi yao wanaojaribu kujitolea mustakali wao wauvunje huu mtandao wa biashara haramu ya vitenge watafanikiwa?
Naona kimegeuzwa magodown na maduka..Rest in peace long time agooo.. Walishagawana mbao
hapa umeongea ukwel kariakoo matajiri wamejificha ila yale maduka wanapata mizigo kwa shida mno maana wanapochukua mzigo hawapewi risiti so ina ngumu kwa wenye maduka nao kutoa risitiKuna wafanya biashara wakubwa hapa Tanzania. Na kuna wanaowafanyia biashara hawa wakubwa.
Asilimia kubwa ya wenye maduka hata Kariakoo ni wahangaikaji. Wanapewa mzigo na waagizaji wakubwa bila ya kupewa risiti. Mpango wa kuuza na taratibu za kodi wapambane kwa akili yao. Kama unataka risiti hupewi mzigo.
Hawa wadogo hawawezi kuagiza na kushindana bei na waagizaji wakubwa. Matokeo yake wanawafanyia kazi matajiri wakubwa huku wakijitahidi misingi isikate.
Na hiki ndio kilichomkuta yule mama wa Domhapa umeongea ukwel kariakoo matajiri wamejificha ila yale maduka wanapata mizigo kwa shida mno maana wanapochukua mzigo hawapewi risiti so ina ngumu kwa wenye maduka nao kutoa risiti
Kama Unaweza Ni PM KakaKuna mtu anataka tupige hizi mishe za vitenge kwa kufaulisha mzigo kidogo kidogo! Af sio mbali ni distance ya 15 kms tu ila hela ni ndefu!! Nachohofia pick up yangu nnavyoipenda,siku ikidakwa si wanaweza kuitaifisha? Daah mtihani huu na hela ipo nje nje yani!! Nimemwambia ngoja mwaka uishe niendelee kutafakari whether nijilipue au nikaushe tu!! Dooh
Kila siku naandika vya maana inategemea na kichwa cha mtu ktk kuelewa!Leo umeandika kitu cha maana sana!
Hapo nyuma nikiwa bado kijana nilikuwa mzalendo sana,lakini leo kuwa mzelendo nimeona ni upumavu kwasababu wanaotuasa raia tuwe wazalendo wao sio wazalendo wanafuja kodi zetu.Vitenge ni pasua kichwa hasa pale kariakoo kuna mtandao mkubwa sana unahusisha mpaka viongozi ndo importer wakubwa. Hawa TRA ni watoto wadogo sana wakitaka tuwape info na taarifa sahihi waache tabia zao za unyanyapaa. Sio vitenge tu mpaka nguo, mashuka na mapazia kodi hazilipwi kuanzia kule bandarini. Karikaoo ishakua ni black market tayari embu imagine TRA kariakoo kwa mwezi makusanyo ya kodi hayazidi billion 15 ni aibu ukizingatia KARIAKOO ndiyo kitovu cha biashara Africa mashariki kwa mwezi pekee Makusanyo ilibidi yawe hata bill100 na zaidi.
.Unaweza ukatoa taarifa kwa nia njema then ukawa umewatengenezea TRA mwanya wa rushwa badala ya kulisaidia taifa.Hapo nyuma nikiwa bado kijana nilikuwa mzalendo sana,lakini leo kuwa mzelendo nimeona ni upumavu kwasababu wanaotuasa raia tuwe wazalendo wao sio wazalendo wanafuja kodi zetu.
Ukifuatilia vijana wa TRA wanaokamata watu kariakoo kwa kutodai risiti vijana wadogo wana utajiri usiolingana na vipato na hata umri wao.Vijana wengi ni wezi Sana huko makazini.Mawaziri nao kadharika ni tabu tupu.
Kutokana na sababu hizi nchi yangu itanisamehe nikipata mwanya nami huwa nakwepa nimechoka na huu wendawazimu.
Nashauri kula hamsini zako fanya yako acha wafanyabiashara nao wale.Unaweza ukatoa taarifa kwa nia njema then ukawa umewatengenezea TRA mwanya wa rushwa badala ya kulisaidia taifa.
Juzi nadhani ulisikia taarifa ya wahariri kule Iringa wakidai familia 12 za vigogo ndio waharibufu wakubwa kwenye chanzo cha maji cha mto ruaha mkuu.Na hawa vgogo utakuta ndio wanatukamata sisi tusipodai risiti.Ni ukichaa huu fanya yako mkuu