Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Hello great thinkers! Leo nimeanza rasmi biashara ya Vinywaji~rejareja pamoja na uwakala wa mitandao yote. Eneo ni changamfu na kuna watu tunaofahamiana(wateja wa uhakika hawa).

Naomba kufahamishwa mazuri na changamoto za biashara husika, fursa zaidi zilizopo na jambo lolote lenye kujenga/tija.

Nimefanya maboresho kwa kuweka muonekano mzuri wa frem na mazingira ya Ofisi, lengo ni kuwapata wateja wote, wa chini kati na juu!
Asanteni.
Punguza kujielezea sana, wewe fanya biashara.
 
Working capital kama wakati unafunga hesabu zako jioni itakuwa in form of float basi ni rahisi zaidi, lakini kama utakuwa na hard cash nyingi nadhani utaangalia usalama wa ofisi yako kama unaweza kutunza ndani ama vinginevyo itabidi uzibebe pamoja na POS zako.

Kama uko jirani na branch ambayo inafanya kazi 24hrs (kwa maeneo ya mjini) basi ni vema uka-deposit ukishafunga ofisi kuhakikisha usalama lakini pia itakurahisishia kesho kuanza kazi ukiwa na float asubuhi maana nature ya transaction nyingi ni za kuweka zaidi.

Angalizo:
Pia inabidi kuwa makini sana na wateja wanaokuja mida ya mwisho mwisho kabla ya kufunga, baadhi wanaweza kuwa wezi wanakuvizia kwa hiyo anakuja na cash nyingi then anaweka M-pesa kama haijatosha ataweka na NMB, tigo na airtel ili ahakikishe amekuacha na cash ili wakikuvamia wachukue cash zao bila tabu.
Madini haya
 
Aisee mtaji usikupe shida, waza ni eneo gani tu. Kama ni mjini utahitaji mtaji mkubwa kiasi kweli angalau 10 mil ili uwe comfortable. Vinginevyo anza na iliyopo ili ujue kama unahitaji kuongeza au vipi. Changamoto zingine zimesha ongelewa.
Lain ya till ya tigo naipataje, npo iringa mufindi
 
Lain ya till ya tigo naipataje, npo iringa mufindi
Nenda Tigo shop yoyote hapo Mafinga, watakupa mwongozo. Au unataka line ya kumvua mtu? Ukishindwa kabisa nenda Iringa mjini. Tigo shop iko mkabala na ile stendi ya zamani.
 
Mkuu nakushukuru sana.

Kuna watu wanaponda hii biashara lakini ukisoma alichokiandika unagundua kuwa hajawahi kufanya biashara hii bali anazo story tu za vijiweni.

Kwangu mimi mtaji sio shida sanaaa,ila maelewano na wafanya biashara wenzangu wanaonizunguka (Mawakala) ndo kitu kinaniweka town , Nina uwezo wa kumuhudumia mteja aliyekuja kutoa laki 8 wakati mimi nina cash ya laki 5 tu.

Endeleeni kuponda ,muhimu tu mje tuwahudumie .

Wanangu pesa ipo.
Saw poll94ezzteeztee
 
Part kubwa ya huu uzi ulijibiwa na watu ambao hawapo kwenye game, mtaji wa million 10 kwa uwakala wa mpesa, tigo pesa na hizo bank ni kukurupuka, biashara hii unashauriwa kuanza kidogo ukipma upepo then unatanua misuli mbele baada ya kuelewa mzunguko.
 
Part kubwa ya huu uzi ulijibiwa na watu ambao hawapo kwenye game, mtaji wa million 10 kwa uwakala wa mpesa, tigo pesa na hizo bank ni kukurupuka, biashara hii unashauriwa kuanza kidogo ukipma upepo then unatanua misuli mbele baada ya kuelewa mzunguko.
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi
Inahitajika kiasi Gani Cha pesa kwa Kila laini moja
 
HILI NI KUNDI LA JAMII ZA WATU KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI TANZANIA NDANI YA GROUP HILI TUNATOA HUDUMA ZINAZOHUSIANA NA MITANDAO YA VODACOM, AIRTEL MONEY, HALOTEL, NA TIGO.

HUDUMA HIZO ZINATOLEWA KWA MTU YEYOTE ANAYE HITAJI KUFANYA KAZI ZA AGENT YAANI WAKALA WA KUTUMA NA KUTOA PESA

SASA NINAWEZAJE KUWA WAKALA WA VODACOM, AIRTEL MONEY, HALOPESA NA TIGO-PESA?
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO

1: UNAHITAJI KUWA NA VITU HIVI ILI UWEZE WAKALA
(a) LIPA-NAMBA NA
(b) TILL-NUMBER


LIPA-NAMBA VODACOM ILI KUIPATA UWE NA
-Tin number
-Nida
-passport size
- namba ya Vodacom isiyounganishwa na huduma ya m-pesa

HALOTEL LIPA ILI KUIPATA UWE NA
-Nida
-tin number
-copy ya kitambulisho cha kura/nida
-lain ya HALOTEL

LIPA AITERL ILI KUIPATA UWE NA
-tin number
-nida
-lain ya aiterl


TILL- VODACOM (kwa wakazi wa DODOMA tu)
-Tin number
-leseni ya biashara
-lain ya Vodacom isiyounganishwa na huduma ya m-pesa

TILL HALOPESA (UKIWA POPOTE)
-Lain ya HALOTEL weka frot ya laki moja
-nida
-tin number
-copy ya KITAMBULISHO cha nida/Kura

TILL AITER LMONEY
-Nida
-tin number
-lain ya aiterl

WASILIANA NASI
0785998769 PIGA
0788913365 WHATSAPP

KUNA MAAGENT WETU WANAOTOA HUDUMA ZILIZOPO HAPO JUU

1. YOHANA ELIYA JOHN
NAMBA YA SMU
Mobile+2550750319051*
2. PASKARY ELIYA KOMBA
NAMBA YA SMU
Mobile +255 762 075 343

prepared by
@OREGANO.ltd@#

Gusa hapa kwa taarifa zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom