Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Ili biashara ya ukahaba iishe nyie wanaume muache kuwanunua basi.
Hasa wale makahaba wa kiume, wanaoenda kununua makahaba wa kike, acheni hiyo tabia. Kuna magonjwa kibao ya kuambukiza na zaidi ni dhambi kumnunua binadamu kingono.
Hakika change ni Mimi na Wewe . Pamoja tunaweza
Halafu hawa wadada waishi vipi?Cha kufanya wanaume muache kuzinunua hizo papuchi
hapo soko litakufa....
Inasemaje mkuu... ?... walau kwa ufupi tuu
Kazi halali ni nyingi....
Halafu hawa wadada waishi vipi?
Hbr ya j2 wadau wote wa jamvi hili?
Hivi ni nini hasa 7bu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?
Jambo hili linazagaa kwa kasi sana krb mikoa yote Tanzania. Nini kifanyike kuwanusuru dada zetu hawa?
tuanzishe taasisi isiyo ya kiserikali ambayo itakuwa inawapatia mikopo mamahaba wote ili wawe wajasiria mali tatizo kubwa hao wadada ni kukosa pesa za kujikim
leo hii ukimaliza chuoo fulani kupata kazi ni ishu mpaka uwe na wakukushika mkono hao ni wale waliopata bahati ya kusoma akina wale ambao darasa kubwa la 7 ndo alisoma atapaje kazi,mfumo wa nchi zetu haya mamboo ni makubwa sanah na yanakuwa kwa kasi mnoo,hata field nayoo uwe na mtu loohhh waache tu wafanye yaoo