Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
Wanajamvi naombeni ushauri, nina Toyota- Avensis ya mwaka 1999 nafikiria kuifanyia biashara ya TAXI!, sema gari ina high mileage of 140,000. Vipi italipa au gari imeshazeeka/itasumbua mbeleni. Hebu nipeni ushauri hapa, nijui ipi bora kati ya kuliuza au kufanyia TAXI?!!
Asanteni!.
Asanteni!.