Biashara ya TAXI (Toyota Avensis)

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
Wanajamvi naombeni ushauri, nina Toyota- Avensis ya mwaka 1999 nafikiria kuifanyia biashara ya TAXI!, sema gari ina high mileage of 140,000. Vipi italipa au gari imeshazeeka/itasumbua mbeleni. Hebu nipeni ushauri hapa, nijui ipi bora kati ya kuliuza au kufanyia TAXI?!!

Asanteni!.
 
Toyota Avensis 99 model, manual, nadhani itakuwa imported kutoka UK, sio? Kama ni hivyo... Hiyo gari ni Ngumu sana na Unaweza shughuli zote za taxi, kwani kwa UK ndio inaongoza kwa kuwa Taxi.. na Kuhusu Mileage usiwe na shaka, Engine zinatengenezwa kulast zaidi ya Miaka 30, kwahiyo life span yake bado sana...Cha muhimu Service na marekebisho ya muhim yanapohitajika.. pia uendeshaji uwe wa kistaarabu gari itakaa hata miles laki3...
 
Upo juu sana mdau. Nashukuru kwa maushauri hapo umesomeka. ngoja niingize kwenye taxi moja kwa moja. .
 
Kumbe unayo?
mm nilifikiri unataka kununua kwa ajili ya TAXI
km ni yako endelea
ila kwa biashara ya TAXI sasa hivi zimepitwa na wakati kwa BAJAJ
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom