Naomba ushauri kuhusu biashara ya Barbershop (Kinyozi)

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
1,799
2,075
Habarini wanajamvi,

Mimi ni kijana ambae nimeingia kwenye biashara ya Barbershop (haijakamilisha mwezi lakini inaniumiza kichwa) biashara ipo Mbeya.

Naombeni ushauri jinsi ya kusimamia ili niweze kupata faida kubwa, kuziba mianya ya janja janja, huduma gani za kitofauti za kutoa ili kuvutia wateja na namna ya kufanya makadirio kwa siku.

Nawasilisha, asanteni
 
Hakikisha kila kitu unachoenda kufanya unaweka plan mbili yani A&B ikifeli plan A unahamia plan B kuhusu biashara yako kama unaweza chukua muda kidogo zen ipe nafasi roho na moyo wako ikwambie wapi umekwama zen mpango namana ushauri kila mtu watakwambia anachojua yeye or Mara ng'ombe wa masikin hawezi kutoka chini or Mara nini huwezi kuwin kwa hatua moja uliyopiga hongera
 
asante mkuu
 
Hamna namna ya kuzibiti huyo kijana zaidi ya kumpangia hesabu ya siku kulinga na eneo la biashara, Kodi ya pango na ubora na idadi ya huduma za hiyo salon
ni baada ya muda gani inatakiwa umpangie hesabu au ukishafungua tu ofisi siku hiyo hiyo?
 
nikifunga CCTV hawezi acha kazi kweli? maana wafanyakazi ukiwabana sana nayo inakua changamoto

Sasa unataka kipi,kuibiwa au kuwaacha waibe hizo hesabu?

Funga camera mtu akataka kuondoka asepe kuwa mkali kweny biashara mzeee au hela huwa unaokota?

Yani mimi kmmmmke sitaki ujinga kwenye hela napiga hadi vicwa
 
nmefanyia kazi ipo njiani ndo naisubiri

Kuna saloon moja iko kahama hapa,

Jamaa kunyoa kichwa 3000 huwa nanyoaga nywele hapo, wana vinyozi wa 2 na wadada wa kazi wa 4 hesabu kwa siku inafika 100,000 sasa sijui wanalipana vipi ila mwenye saloon kafunga kamera 2 kila upande. kila mwisho wa wiki anakuja mapema kuhesabu vichwa kweny monitor alafu anadai chake.
 
Back
Top Bottom