Nina kibanda changu kiko mbeya mitaa flan ya utulivu ya makazi ya watu. Sasa ninawaza nianzishe biashara ya fresh food, ntaweka na dagaa wa kukaanga wa mwanza, pia mayai (kuku nafuga), pamoja na asali kwa packaging nzuri na lebelling
Nawasilisha. Naomba muongozo upatikanaji wa samaki na handling yake.