Biashara ya salon za massage ina leseni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya salon za massage ina leseni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kandambilimbili, Mar 21, 2009.

 1. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #1
  Mar 21, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nikiwa kwenye mizunguko yangu nakutana na vibao vya matangazo ya massage, naona vinaendelea kuongeza.

  NOW I AM THINKING LOUD, hivi hizi saloon zinatambuliwa kisheria na zina leseni yake?

  Siataka hata kufikiria ni mambo gani yanafanyika huko ndani, is this not those kind of business comming in a different style?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Sallon nadhani kulipa kodi kidogo inategemea kama ni saluni ndogo au kubwa! hupata leseni manispaa..kuna wakati serikali ilifuta kodi biashara ndogo ambazo mapato kwa mwezi ni chini ya 100,000!

  Ila mambo ya massage haukuwa utamaduni wa Watz..sijui kama wana leseni!

  Ila utashangaa watu matajiri na hata wanasiasa akina baba na akina mama wanenda ktk hizi sehemu za massage!
   
 3. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu, pamoja kuwa massage sio utamaduni wetu lakini ni kitu muhimu sana. Mfano kwa baadhi ya wagonjwa wanashauliwa wafanyiwe massage so is a health issue. However, the bottom line is who is doing that and for what purpose.
   
 4. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180

  Nakubaliana na wewe kabisa massage inafwanyawa ili kuondoa uchovu na kumfanya mtu awe kwenye normal condition. Swala la kodi liko kama kawaida. Na kiasi cha kodi kitategemea sana ukubwa wa saluni yenyewe.
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mimi sielewagi kwanini haya mambo yanawasumbua watu vichwa, kwani kuna mtu analazimishwa kupelekwa kwenye hiyo massage? leseni iwe kama biashara zingine tu, ile walipe kodi etc.
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Leseni hawana,biashara ndogo zote zilifutiwa lakini kodi wanalipa kulingana na ukubwa wa sehemu.Nawatahadhalisha wanaotaka kwenda kuna nyingine zinatoa huduma za ziada ambazo wengine zitawastua.
   
 7. A

  Audax JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Japo halimo kwenye utamaduni wetu,ila ni katika njia moja wapo kuondoa uchovu,au kama tiba fulani. Kama ni kodi watakuwa wanalipa tu!!
   
 8. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani tatizo nini?
  Tatizo letu sisi ni watu wadouble standard.Tunapinga mchana, usiku tunafanya.

  HILI NI TATIZO KUBWA KWETU KAMA TAIFA(DOUBLE STANDARDS)

  Kenya wameonyesha njia.

  Kama ni hiyo biashara, na ifanyike wazi tupate pesa ya kununua Generators tufunge pale Ubungo.
   
 9. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Atakayeona pesa hiyo HARAMU, alale giza.
   
 10. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
   
 11. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #11
  Mar 27, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna sehemu nimepinga????????
  Any way fanya homework vizuri utajua nini zaidi kinafanyika humo ndani
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Bongo joto mkuu, huenda walikuwa wanaepuka kutokwa majasho, kazi ya kuchua si ndogo :D

  Huh, i would love to be massaged na hao mabinti!
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kina dada ndio wapo mstari wa mbele kupinga haya mambo, wao miaka nendna rudi oooh, nakwenda saloon, harudi mpaka baada ya masaa kadhaa... mbaya zaidi anakuja na story ooh, wasusi ni wanaume wa kizaire, mara ooh, tunafanyiwa mpaka waxing! blaaaaaaaaa!

  acha na sie tujinome nome... facial scrub baada ya kunyoa, ...then massage...!
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna salon fulani iko maeneo ya Kinondoni, pale ni maarufu kwa ngono hasa wake za watu. Ndani ya Saloon kuna chumba na kitanda 6 x 6. Kuna wa kina mama waume zao huwa leta wanawake zao saloon na kurudi kuwapiki baada ya masaa 2 -3, kinachofanyika unaongea na huyo mama analetwa na mume wake akiingia saloon na njema inazama manaenda chumbani unakamuaa for an hour, unalipia kile chumba 10,000 to 20,000 Tshs. Un aishia mama anaretouch ama kuosha nywele mumewe anampitia..... kuweni makini na hizo saloon wakina baba...
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! kulikuwa na air conditioning.Lakini kwa hili la massage tumewashika pabaya kina mama mi mke wangu katafuta mama 1 kamfundisha sasa ananifanyia mwenyewe nyumbani anasema hawezi kuwaamini vibinti wa mujini.
   
 16. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna massage parlour pale makumbusho massage unafanyiwa ndani ya Jacuzzi.
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  E bwana eh! Tembea uone! Ndani ya nini vile?
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kwani kinachoshangaza ni nini?
  Massage ni tiba for stress na mambo mengine na sioni aibu kabisa kwenda kupata huduma hiyo angalau fortnightly.Unless by massage uwe una maanisha kitu tofauti na nikijuacho mie.
   
 19. K

  Kaka Mdogo Member

  #19
  Apr 2, 2009
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukweli ni kwamba massage parlour zetu ni madanguro katika jina jingine.
  Wasichana wanaofanya massage lazima wahakikishe wanaku lead kwenye kudai vitu vingine zaidi. Nilienda moja dada walipomaliza mgongo nilipoambiwa kugeuka na kulala chali mmoja akawa busy na naniiiiii halafu mwingine akapambana na kifua concetration ikiwa kwenye chuchu!!! Jamani jamani!! na ukigeuka unakuta hata bla ishatolewa. Nikataka nisome surat yasin, nikaona ntawamaliza!!!
   
 20. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  kaka mdogo mbona umekatisha stori! inaonekana ume editi sana hiii hadithi! wale navyowajua huwezi toka bure bure pale! vibinti vinatempt vile balaa! wewe alikufanyia yupi. labda yule mjamzito tu ndio amepumzika kwa sasa! ila wale wengine ni full ngono..ila hawasahau kondom ndo uzuri wao! ukiingia tuu kwenye kichumba huwa wanavua nguo zoote!! ambao hamjajaribu jamani msiende! na ni zoote za hili jiji...ufuska mtupu..
   
Loading...