Biashara ya pikipiki za mkataba ni utapeli

BumbleBeeBot

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
281
Reaction score
439
Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva boda sijiwekezei mimi.

Mi nimefanya hii biashara naona haina tija zaidi ya kumfaidisha kijana aneendesha boda kama atakuwa na akili nzuri. Yaani hapa ni kwamba kwenye boda boda yako wewe unaweza ukaingiza 2m pekee na dereva akaingiza zaidi ya 10m kwa mtaji wako wa 3m.

Kiufupi yule unaempa boda akiwa na nidhamu bas anaweza jenga nyumba na akawa fresh kuliko wewe uliekuwa boss wake. Sishauri mtu awekeze kwenye boda then ampe mtu kwanza vijana pasua kichwa kinoma mpk kuna kipindi nilijuta kununua, inalipa labda uendeshe mwenyewe.
 
Sema bodaboda wengi ni machizi... kanunua pikipiki kwa milioni takribani 4(baada ya kumaliza mkataba) anakimbilia kuuza pikipiki kwa milioni 1.5 badala ya kujipa mkataba yeye mwenyewe...
Sasa anauza anaenda kuchukua mkataba mwingine, anaanza upya.
 
Na mi ndio wananichanganyaga hapa tuu, nimewauliza watu kadhaa wanasema wanataka wapate +1m kwa mkupuo then warud tena kudunduliza wengine wanasema tushazoea mikataba😅
 
Sasa brother
Inakuwaje utapeli?
unanunua boda mpya zaid ya 3m au used 2m alafu unampa mtu mkataba anakuletea 4-5m alafu pikipiki inakuwa yake ndio biashara ya aina ganii hii utatoboa km una ishu nyingine kwamba makusanyo ya boda hugusi hata 100
 
Hahaaaa!!!!
Kuna dogo alipewa boda ya mkataba, muda si muda chombo ikaibiwa.

Bosi kaenda kushtaki polisi eti boda yake imeibwa hivyo dereva awekwe ndani.

Dogo alivyofika polisi akageuza kibao, anamwambia jamaa, " bro hunidai boda, wewe unanidai hela, tuliandikishana mkataba kuwa hela itakua yako, mimi yangu boda, hivyo nimeibiwa boda yangu
wewe kukusaidia tuandikishane hapa polisi ni namna gani nitakulipa kidogo kidogo lakini sio kuniweka ndani"
 
Dogo alivyofika polisi akageuza kibao, anamwambia jamaa, " bro hunidai boda, wewe unanidai hela, tuliandikishana mkataba kuwa hela itakua yako, mimi yangu boda, hivyo nimeibiwa boda yangu, wewe tuandikishane hapa polisi ni namna gani nitakulipa kidogo kidogo lakini sio kuniweka ndani"
Na ndio hivyo kesi ya boda ukiikurupukia inakuwa ya madai, labda umbane sana kwenye mikataba
 
Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva boda sijiwekezei mimi.

Mi nimefanya hii biashara naona haina tija zaidi ya kumfaidisha kijana aneendesha boda kama atakuwa na akili nzuri. Yaani hapa ni kwamba kwenye boda boda yako wewe unaweza ukaingiza 2m pekee na dereva akaingiza zaidi ya 10m kwa mtaji wako wa 3m.

Kiufupi yule unaempa boda akiwa na nidhamu bas anaweza jenga nyumba na akawa fresh kuliko wewe uliekuwa boss wake. Sishauri mtu awekeze kwenye boda then ampe mtu kwanza vijana pasua kichwa kinoma mpk kuna kipindi nilijuta kununua, inalipa labda uendeshe mwenyewe.
Mkuu biashara ya design hiyo we usi focus na uliyempa boda, focus na utakachoingiza kupitia huko mkataba mliowekeana, hili swala waliolianzisha hawakukurupa hii ni moja ya njia rahisi ya kupunguza head ache, watu wengi waliowapa bodaboda mikataba ya aina hii wamefanikiwa ku run hii biashara compare to wale wanaotaka hesabu ya kila siku na bado wanaendelea na umiliki
Sema na nyie ma boss punguzeni roho za kwann, yani ukiona dogo amemaliza mkataba na chombo bado inadai (mpya) unaanza tena kuona wivu?
 
Mbona tax driver , hakuna mikataba ya namna Hii,
Kwamba dereva akuletee kipande alafu baada ya muda Fulani unamkabidhi gari Yako 😂

Vile nawaza viongozi wa CCM wanavyo signs kwenye mikataba na international companies, nabaki kucheka TU 😂.

Najua lengo lako ni kutaka kupata kila siku faida.
Lakini kwa huo mikataba, wewe mmiliki ndio unapata hasara in Long run.

Badilika, kuwa na akili
 
Uweiezaji wa wanawake na vijana wavivu
 
Mbona kwenye nyumba za kupanga haipo hii kitu maana ingekuwepo ingesaidia wapangaji wengi kujitwalia nyumba pindi wanapomaliza mkataba wa kulipa kodi kwa kipindi kadhaa
 
Kijana anaelekea kumaliza mkataba anakwambia dah yaani bro kipindi hiki maboss wanaroga ushindwe kufikia hesabu au mda mwengine wanakutengenezea tukio wakupore pikipiki. Ok Kiuhalisia tuu biashara ya boda haiko fair, mi mmiliki nafaidika mwaka na nusu alafu ndio bas. Tena ili nifaidike niumie kwa kutunza pesa, nikitumia tuu bas mwisho wa siku boda imeondoka na sina hata mia
 
Mbona kwenye nyumba za kupanga haipo hii kitu maana ingekuwepo ingesaidia wapangaji wengi kujitwalia nyumba pindi wanapomaliza mkataba wa kulipa kodi kwa kipindi kadhaa
Sijui nani alianzisha huu mfumo kwenye bodaboda aisee, biashara nyengine hazipo hivyo ukiacha na bajaji pia.
 
Hahaaaa!!!!
Kuna dogo alipewa boda ya mkataba, muda si muda chombo ikaibiwa.

Bosi kaenda kushtaki polisi eti boda yake imeibwa hivyo dereva awekwe ndani.

Dogo alivyofika polisi akageuza kibao, anamwambia jamaa, " bro hunidai boda, wewe unanidai hela, tuliandikishana mkataba kuwa hela itakua yako, mimi yangu boda, hivyo nimeibiwa boda yangu
wewe kukusaidia tuandikishane hapa polisi ni namna gani nitakulipa kidogo kidogo lakini sio kuniweka ndani"
Jina la kwenye title ndio mmiliki, mengine story tuu, na boda si ina bima inayo cover ajali na wizi?au kuna kitu sielewi
 
Mbona tax driver , hakuna mikataba ya namna Hii,
Kwamba dereva akuletee kipande alafu baada ya muda Fulani unamkabidhi gari Yako 😂

Vile nawaza viongozi wa CCM wanavyo signs kwenye mikataba na international companies, nabaki kucheka TU 😂.

Najua lengo lako ni kutaka kupata kila siku faida.
Lakini kwa huo mikataba, wewe mmiliki ndio unapata hasara in Long run.

Badilika, kuwa na akili
Yaani mmiliki unapata faida mwaka na nusu tuu😅 alafu shwaaah unaanza upya.
 
Jina la kwenye title ndio mmiliki, mengine story tuu, na boda si ina bima inayo cover ajali na wizi?au kuna kitu sielewi
Sema kaka inabidi uuset vizuri mkataba wako tofaut na hapo hata mkienda polisi mnaambiwa tuu kaeni chini mkubaliane. Mimi kuna jamaa mpaka nikamuachia tuu pesa nilkuwa namdai ila akanipa chombo.
 
Back
Top Bottom