Biashara ya pikipiki za mkataba ni utapeli

Biashara ya pikipiki za mkataba ni utapeli

Uweiezaji wa wanawake na vijana wavivu
Kwakweli aisee na Ukute jamaa anaishi kwao chumba cha uani au nyumba ya urithi alafu ana boda, oya anakuwa na jeuri huyo. Hadaiwi hesabu wala kodi, anabweteka. Una safar anakwambia uko siendi, ah naangalia mpira.
 
Sema kaka inabidi uuset vizuri mkataba wako tofaut na hapo hata mkienda polisi mnaambiwa tuu kaeni chini mkubaliane. Mimi kuna jamaa mpaka nikamuachia tuu pesa nilkuwa namdai ila akanipa chombo.
Bila mkataba, bila advance, bila bima hakuna deal, to me asset protection na loss control ni priority, profit ni bonus
 
Sema bodaboda wengi ni machizi... kanunua pikipiki kwa milioni takribani 4(baada ya kumaliza mkataba) anakimbilia kuuza pikipiki kwa milioni 1.5 badala ya kujipa mkataba yeye mwenyewe...
Sasa anauza anaenda kuchukua mkataba mwingine, anaanza upya.
Vijana wengi wanaona sifa sana kuendesha chombo mpya lakin hawajui wanajirudisha nyuma,
Sahv kila spare ipo badala aboreshe hyo hyo yeye anakimbilia kuiuza
 
Sijui nani alianzisha huu mfumo kwenye bodaboda aisee, biashara nyengine hazipo hivyo ukiacha na bajaji pia.
Ila huo utaratibu umesaidia kuwa na boda nyingi sana mtaan

Huu utaratibu uliwekwa ili madogo wajitume sana kufanya kazi maana anaamin mwsho wa siku chombo ni yake

Afu huu utaratibu ulianzishwa na wenye maduka wauza pikipik kwahyo faida yao ipo pale pale,badala ya kuuza pikpik kwa 3mil anaiuza kwa mil 7
 
Biashara nyingi siku hizi iko hivi chunguza
 
Sema bodaboda wengi ni machizi... kanunua pikipiki kwa milioni takribani 4(baada ya kumaliza mkataba) anakimbilia kuuza pikipiki kwa milioni 1.5 badala ya kujipa mkataba yeye mwenyewe...
Sasa anauza anaenda kuchukua mkataba mwingine, anaanza upya.
Hapo tu ndo naposhindwa kuwaelewa baadhi ya boda
 
Back
Top Bottom