Mfufua Nyuzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 439
- 427
Hazijafungwa. Subiri mwezi mtukufu uishe ndo utajua bado zipo au hazipo.Habari wakuu
Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa. Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa Lounge.Siku hizi hata ukitaka kuingia club kwa ajili ya kucheza mziki, utahangaika sana tofauti za hapo nyuma kidogo badala yake utaishia kukaa kwenye bar,lounge kubwa kubwa kama vibez lounge,BM Lounge n.k ambazo si club bali ni bar zenye open space kwa ajili ya kukaa na kunywa pekee mziki upo lakini hauna privacy kama club.
Hata kabla ya Ramadhan hali ipo hivyoHazijafungwa. Subiri mwezi mtukufu uishe ndo utajua bado zipo au hazipo.
Unaposema asubiri mwezi mtukufu uishe unamaanisha hii analysis ya jamaa ni ya siku 2 tu? Maana kama kufunga watu wameanza jana tu.Hazijafungwa. Subiri mwezi mtukufu uishe ndo utajua bado zipo au hazipo.
Vi liquor store kibao kitaa watu wanakesha humo wanakula mziki na bia mpaka 6 in the morning hakuna kwenda mbaliSiku hizi huku mtaani hadi vigrocery vimegeuka nightclubs so watu hawaendi mbali.
Zamani hayo maeneo yalibamba sana kwani maeneo ya kujirusha yalikuwa machache
Matokeo ya bendi za muziki kufa, watanzania hawaishi maisha ya raha tunaishi kiupweke kama watoto yatima hatuna furaha.Habari wakuu
Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa. Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa Lounge,Casinos au bar.Siku hizi hata ukitaka kuingia club kwa ajili ya kucheza mziki, utahangaika sana tofauti za hapo nyuma kidogo badala yake utaishia kukaa kwenye bar,lounge kubwa kubwa kama vibez lounge,BM Lounge n.k ambazo si club bali ni bar zenye open space kwa ajili ya kukaa na kunywa pekee mziki upo lakini hauna privacy kama club.
si mmeambiwa maisha yamekuwa magumu kutokana na kuzaa sana licha ya uchumi kuongezeka?Matokeo ya bendi za muziki kufa, watanzania hawaishi maisha ya raha tunaishi kiupweke kama watoto yatima hatuna furaha.
Hizo sio club ni bar/restaurantELEMENT masaki, WARE HOUSE masaki, SAMAKI SAMAKI masaki, 124 masaki, wavuvi camp kidimbwi nk
Wiki iliyopita kuna mtu humu alilalamika eti daladala zinajaza sana nikamjibu punguzeni kuzaliana, alitamani aning'oe masikio!si mmeambiwa maisha yamekuwa magumu kutokana na kuzaa sana licha ya uchumi kuongezeka?
Aende hapo Celebrity Club Mwai Kibali Rd. Kama anataka kudanceELEMENT masaki, WARE HOUSE masaki, SAMAKI SAMAKI masaki, 124 masaki, wavuvi ca
Hayo mabaa ndiyo yamezidi! Tunazungumzia Night club! Sehemu yenye privacy ya kucheza mziki!Mkuu kila mtaa kuna mabaa makubwa tu, halafu unakuta labda kila jumatano au weekend kuna bendi,open space,mziki upo,na karibu na kwako au mtaani kwako.
Mtu unakaa karibu na maskani ,kufahamiana na usalama wa kutosha .
Hapo kwa mchina panatazamana na kituo cha mafuta?Kuna siku nimeamka asubuhi saa 12 nina mzuka wa kula bata, nikaenda las carinyo sikupaelewa. Nikachukua boda hadi chimbo lingine sikupaelewa pia, boda akasema nikupeleke kuna chimbo lingine wanasema kwa mchina karibu na makaburini kinondoni.
Kufika naingia ndani japo ni padogo lakini watu shazi wamekesha wanakunywa.
Sikukaa sana kwa vile niliona hatuendani.
Siku hizi hizo nights club zipo kwenye frame tu kwa uwekezaji kidogo.