Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Biashra inamlipa sana sema hayupo jf
Muulize basi utusaudie ABC......
. Malazi
. Nauli
. Nguo anachukulua soko gani Kampala
. Bei ya nguo Kule ...rough sample tu
. Exchange rate ya Sasa
. Vitambulisho/passport/yellow fever
. Ni Bora kuexchange Kampala au boda....hela
. TRA mpakani ukirudi na mzigo....Kodi wanakadiriaje?

Chonde tusaidie na sisi tujifunze pia.

Thanks in advance
 
Unafaa kuwa Dr Wa magonjwa yenye kukatisha tamaa. Asante kwa kutia moyo kiasi hiki
 
Habari wanajamvi,

Ununuzi wa viatu vzuri vya biashara na nguo nasikia ni Uganda na Kenya. Je, ni kweli?

Naomba anayefahamu anipe mwongozo.

Asanteni.
 







Ndio maana anakuita mvivuuu
 
Usimuite mvivu, ukifuatilia hizo threads ulizomdirect
we jamaa mvivu cjapata kuona
Usimuite mvivu m hizo threads ulizomtumia ukiangalia niza mda sana, mfano2017, zingine2014 lkn unaweza kuta mambo yashabadlika saivi

Kwahiyo kiufupi zinahitajika Updated informations, kwa saiv kama kuna mtu anafanya kwa wakat huu inakuw n nzuri zaid
 
Ni kweli angetakiwa atumie hata uandishi unaojielezea vizuri
 
Habari wanajamvi,

Ununuzi wa viatu vzuri vya biashara na nguo nasikia ni Uganda na Kenya. Je, ni kweli?

Naomba anayefahamu anipe mwongozo.

Asanteni.
mkuu nami nipo katika hizo hatua za kutaka kwenda huko uganda ila bd naendelea kutafuta tarifa sio mbaya kama tukaunganisha nguvu alafu tukajua cha kufanya ili tufike huko umoja ni nguvu. nicheki 0688501810

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…