Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Masai dada kutoa hela yako baclays ukiwa uganda wakati mwingine inazingua, jamaa yangu alichemka kutoa ikabidi ashindwe kufanya mitihani kwa kutegemea hela zake barclays, so chukua tahadhali
wameniambia wakati naenda inabidi niwataarifu kabla sijaenda so nikifika kule natoa tu vyema
maana acc ya dola ukifika uwez kutoa ela nyingi
 
Masai dada kutoa hela yako baclays ukiwa uganda wakati mwingine inazingua, jamaa yangu alichemka kutoa ikabidi ashindwe kufanya mitihani kwa kutegemea hela zake barclays, so chukua tahadhali
embu niambie una suggest bank ipi please
 
We kama hazivuki mil 6 weka mfukoni chapa mwendo, mie nilibeba mil 4. Nilipofika kahama nikanunua soks ndefu kweli kama za wacheza mpira nikajaza huko, yan mpk naingia kampala iyo ndio ilikuwa bank
mkuu h njia duh
 
Ha ha ha iyo inaitwa taking risk, ni kama unazamia bondeni kwa madiba kusaka life. So ready to face anything almradi ufike kwa mseveni

Shukrani za pekee zimwendee Money Stunna
hapana sirisk life ela yenyewe nimeitafuta muda sasa
 
Last edited by a moderator:
wana jamvi nisaidieni mawazo, nataka kuanzisha biashara but nina mtaji wa lakhi moja na nilipenda biashara ya nguo sasa cjui itawezekana? naitaji mchango wenu wa mawazo
 
ndio inawezekana. nenda kariakoo kusanya mashati na brauzi za elfu moja moja...piga pasi utembeze kwa elfu tatu tatu hadi elfu tano.
 
Inabidi uwe mlengaji wa aina ya nguo unazotaka kuuza na kujua aina wa watu unaotaka kuwaauzia
 
bobby bm pita mwenge au Karume uwahi asubuhi chagua nguo na utembeze
Zingatia nguo za watoto zaidi na wadada
 
Last edited by a moderator:
Kaka asante kwa elimu hii umenifumbua macho! Ila nakuomba unisaidie namna ya kuanza mi nina owsa ndogo kana milioni 2 naweza kuanza? ila mimi nataka nguo za special za kike na kiume na nipo mkoa wa Kigoma tafadhar nisaidie 0683865563 naitwa mr Kiyogera
 
Back
Top Bottom