Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,009
- 7,309
Koti za korea au trench coats naona bei zinatofautianakwa wauzaji ila 350 kwa belo uhakika..... Nachalufanya ni kwenda kw wachina direct (sina uhakika kama ni upanga au wapi yalipo maduka ya wachina wanaouza mabelo ya mtumba) utaweza pata mzigo mzuri .....Hizo koti bei za jumla ni ngapi mkuu
Na viatu bei ya jumla havipo chini ya 2500??/nahitaj
Ila kuna aliekuwa anauzia huku iringa alinichoresha ramani amenunua laki 250 tu na sio 350 kama nilivyoulizia kwa wauzaji......
Viatu ninavyozungumzia ni vya dukani zile sendo zote za kike bei nrio hizo za 1500, 2500 wamauza 5000 za 3000 na 4000 utauza 8000 biashara yao ipo hivyo na nauhakika sababu kuna wadogo zangu wanafanya ya viatu..... Tena biashara ya viatu vya kike inafaida maana faida ni nusu ya mtaji kama mtaji ni 200000 basi faida ni 400000 kwa sababu kwemye kuuza unadouble pesa na faida inarudi.