Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. milioni 1

Umekuja na msamiati Mpya Chambuu kwenye Chupi ndo zipoje na zinapatikana wapi.?

Ili kuongeza mauzo dukani kwako ni kuleta bidhaa wanazozitaka kulingana na soko lako Mkuu

Hongera kwa kuthubutu nikija mjini nitakutembelea ofcn kwako 😉
Chambuu zipo za aina mbili..zipo aina flani ukifika machimbo waulize tu chambuu za cf..ni chupi quality sio lonya. Hizo unaweza kuuza hata chupi moja 5000 na chambuu part 2 ni mseto. Mseto ni mchanganyiko wa chupi mbalimbali kwenye dozen moja.
 
unaona sasa unanipa madini mapya kabisa ebu Fanya kufunguka nazipataje hizo Chambuu za cf? #iloveJF
Chambuu zipo za aina mbili..zipo aina flani ukifika machimbo waulize tu chambuu za cf..ni chupi quality sio lonya. Hizo unaweza kuuza hata chupi moja 5000 na chambuu part 2 ni mseto. Mseto ni mchanganyiko wa chupi mbalimbali kwenye dozen moja.
 
Mkuu namba zao sina na nashauri sana kama ungeweza fika mwenyewe kariakoo underground uchague kwa macho yako......maana unaweza pata namba ya machinga wa nje akakupiga kwa kukutajia bei kubwa, pia ni vizuri kuwepo ili wasikuchanganyie na visendo old fashion yani upate mzigo mpya mpya na fashion za sendo za kisasa......mwanzoni kama mara 5 fuata mzigo mwenyewe baada ya hapo unaweza agiza kama utakuwa umezoeana na wauzaji
Sorry mkuu,yan underground unaingia chini ya yale maduka ndio unakuta waauzaji wa sendo za kike jumla...au me ndo sjakuelewa
 
Kwahiyo kuchukua balo siyo njia nzuri?
balo kwa unaeanza ni risky sana, unaweza pata nguo nzuri ajabu au mbaya ajabu.....

Kuna utaalamu wa kujua belo zuri nabaya kidogo unasaidia japo sio sana (wao wanaangalia sticker zile zinarangi gani, maneno etc)

Kama unataka nunua belo tafuta mtu mzoefu sana na ambaye unajua na umeona ananguo nzuri mara nyingi, mpe pesa kidogo ya chai na mpe pesa akakuchukulie anakochukuaga

Ila kama unaanza na huna huo msaada nenda ilala boma na Karume kapoint nguo kali chache upate loyal customers kwanza na pesa ya haraka ije
 
Sorry mkuu,yan underground unaingia chini ya yale maduka ndio unakuta waauzaji wa sendo za kike jumla...au me ndo sjakuelewa
Mkuu nimechelewa kujibu ndio naona notification hapa..... kariakoo underground ni hukohuko ulikoelezea i mean maduka ya ndani chini ukiachana na maduka ya juu....

Maduka ya chin tembea uliza bei utapata madula yenye bei nzuri sana (tembea sana maana bei zinatofautiana na mzigo pia inatofautiana kwa latest fashion)

maduka ya juu/nje mengi yanauza kwa bei ya juu sababu ya kodi ila ndani kodi sio kubwa kama nje so hata bidhaa zinauzwa kwa bei nzuri sana
 
Huko ndo wanapaita jina lingine SHIMONI au nakosea?
 
Huko ndo wanapaita jina lingine SHIMONI au nakosea?
Ndio hulo mkuu shimoni na underground ni sehemu moja tu.....lugha ndo tofauti alafu kule kuna maeneo na majina mfano underground toronto etc ndio maana nikasema utembee tembee ili uangalie kote usiende sehemu moja tu
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom