Biashara ya ngono yashika hatamu mtandaoni

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Biashara za ngono na usambazaji wa video pamoja na picha za ngono ni moja ya hasara za Teknolojia, serikali tunaomba uthibiti haraka maana hali sio shwali.

Moja ya mitandao ya kijamii ambayo inaongoza kusambaza video za utupu pamoja na picha ni mtandao wa WhatsApp, telegram, facebook na Instagram hiyo ni baadhi.

Kama google wameweza kuzuia kuangalia hizo video katika ukanda wa afrika ya mashariki kwanini serikali isifanye ikawa hivo kwenye hizi Application maana taifa linazama na mkombozi ni serikali maana wenye
 
Ngumu kumzuia mwanadamu akitaka lake. Pindi Magufuli alipofunga internet watu waliambizana kuwa watumie VPN na wakaendelea kupata taarifa kama kawaida. Sasa hivi ukisearch google huwezi kuingia katika website za Ngono ila ukitumia VPN una access kama kawaida.

Hata huko china na Korea kaskazini wanazuia matumizi ya baadhi ya mitandao ila bado raia wao wanatumia VPN
 
Umeshasahau tu kwamba hata watu waliopo serikali I( mawaziri na wabunge) nao pia Ni watumiaji wazuri wa video za ngono na picha za utupu.

Kenya Kuna mbunge mmoja aliwahi kustukiwa akiangalia video ya ngono wakati mjadala unaendelea bungeni.
Waafrika bwana...baadala ya kuumiza vichwa kwenye mambo ya msingi wanashindana na nature ya binadamu
 
Ngumu kumzuia mwanadamu akitaka lake. Pindi Magufuli alipofunga internet watu waliambizana kuwa watumie VPN na wakaendelea kupata taarifa kama kawaida. Sasa hivi ukisearch google huwezi kuingia katika website za Ngono ila ukitumia VPN una access kama kawaida.

Hata huko china na Korea kaskazini wanazuia matumizi ya baadhi ya mitandao ila bado raia wao wanatumia VPN
vpn haiwezi zuiwa
 
Back
Top Bottom