Biashara ya Ngono mwanamke kipofu aliyebobea

Biashara ya Ngono mwanamke kipofu aliyebobea

kwanini wanawake hamtaki kujibu bali mnang'ania kuyumbisha majibu ya swali? jibuni kwanza ndipo mtoe comment zenu za anazini na nani!

hata hivyo inawezekana hawa wa JF hawauzii huko jamaa alikopita bali makazini, mitandao ya jamii na kwenye vyombo vya usafiri ndiko wanakopata wateja!

Majaribu2013 embu pita na kwenye mitandao ya jamii,makazini, kwenye vyombo vya usafiri kwa wale wapenda lift na upite kule kwa waganga kwa wale wanaotafuta kupendwa zaidi ya penzi la kwaida na usisahau vyuoni na kwenye utafutaji wa kazi!
 
Wanaume wakiacha kununua wanawake wataacha tu.
Higher the DEMANDA high the SUPPLY and PRODUCTION.
WANAUME WAPEWE SEMINA WASIWANUNUE WATAACHA TU.
 
We umewaona leo ndo umestukaa. Wenzako walikuwepo tangu miaka hiyo na maisha yanaenda tu.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    16.1 KB · Views: 107
Wewe tinna some mstari wa mwisho wa Majaribu 2013

Halafu wewe Majaribu hii hii inatosha usilete nyingine tena, ile unayosema ina siku yake, hawa wamezidi mno kuuza. Wanatutega sana.

Ye alie tu huku wenzie wanasikilizia utamu na pocket inajaa.
 
yule jamaa aliyeoa mbwa aliona mbaaaaali.miaka hiyo utakae oa basi jua alishainamishwa na dalali,mpaka rangi za kucha, ticha,baba mwenye nyumba,boss,dereva wa bodaboda,konda au fundi gereji.na ukiisha oa matambiko ya kutopata mtoto wa kike yatafuatia.
 
Waache vipofu wajitaftie hela za kulsha familia zao! Hzo ndo fursa zenyewe!(in Ruge's voice)hahah
 
Siku zote biashara ikikosa mnunuzi hufungwa sasa kama wanaume hawatanyanyua miguu yao kuwatafta hao vipofu nadhani watafunga biashara yao,so ulitakiwa uanze kwanza kuwaelimisha wanunuzi na s wauzaji,hiyo dhana yakutuambia kuwa wanaume cku nyingne sababu ulijua fika biashara bila mnunuz haiendi tenah midume ndo vipofu haswaaaa,wew utanunuaje nyanya ilooza akati unaiona????nahisi hata huu uzi alouandika kipofu
 
yule jamaa aliyeoa mbwa aliona mbaaaaali.miaka hiyo utakae oa basi jua alishainamishwa na dalali,mpaka rangi za kucha, ticha,baba mwenye nyumba,boss,dereva wa bodaboda,konda au fundi gereji.na ukiisha oa matambiko ya kutopata mtoto wa kike yatafuatia.

Hahaha wainamishaji wengi sana
 
mbuni biashara ni nani....! maana mpaka ubuni biashra ndiyo na wanunuzi muwepo uwezi kwenda sokoni kama kutafuta biashara isiyopatikana.....! ata madawa ya kulevya tunapambana na wauzaji zaidi ya wanunuzi a watumiaji.... Acheni jamani wanaume tunapata kiu baada ya kuona naniiii mnaziweka nje!
huwezi kuuza bila kuwa na wanunuzi..
wanunuzi wasipokuepo na wauzaji watamuuzia nani? biashara lazima ife
 
uhitaji ulikuwepo..ndo wakabuni..
infact..wote wana makosa
mbuni biashara ni nani....! maana mpaka ubuni biashra ndiyo na wanunuzi muwepo uwezi kwenda sokoni kama kutafuta biashara isiyopatikana.....! ata madawa ya kulevya tunapambana na wauzaji zaidi ya wanunuzi a watumiaji.... Acheni jamani wanaume tunapata kiu baada ya kuona naniiii mnaziweka nje!
 
Acheni jamani,,,,! ukitaka ni wanawake chanzo anglia asilimia ya wanaume na wanawake wanao tembea nusu nyuchi.....! wanawake mnakarahana fulani....! sasa hivi ata hamtaki kufanya kazi hasa wa mjini kazi kuuza naniii mnaudhi sana...!
uhitaji ulikuwepo..ndo wakabuni..
infact..wote wana makosa
 
kuna mwanamke hataki kufanya kazi hapa mjini? wa wapi huyo?.ya sasa tofauti sana na ya zamani mjasilia
muhimu...acheni kununua,muone kama biashara haiyokufa.
Acheni jamani,,,,! ukitaka ni wanawake chanzo anglia asilimia ya wanaume na wanawake wanao tembea nusu nyuchi.....! wanawake mnakarahana fulani....! sasa hivi ata hamtaki kufanya kazi hasa wa mjini kazi kuuza naniii mnaudhi sana...!
 
Last edited by a moderator:
Ni umbea umekupeleka huko,, fanya yako kijana pls naomba uweke picha wa wanunuaji..

Picha za nn?...au ndo untaka kuchukua fursa mapema....hahahaa dada zetu majanga,wanaojihucsha na biashara hzo acheni c nzur kwa afya zenu
 
Back
Top Bottom