Biashara ya Ngono mwanamke kipofu aliyebobea

Biashara ya Ngono mwanamke kipofu aliyebobea

umeingia kwenye biashara zawatu kaka utayakoga matusi mpaka ufurahi na roho
 
Majaribu una mambo sana, mbona ulaya hawawasemi? Wako tu free kujitangaza, unawaonea tu wateja wapo thats why biashara iko
 
MAJARIBU, usiegemee upande mmoja, wote ni vipofu, wauzaji pamoja na wanunuzi
 
Toka lini ukaandika mabaya ya mwanaume??
Hii shida ya mtu kuja kuanza kuuliza umenielewa hapo chini? wanaume wana siku yao nimeandika nilio yaona leo. Hata mkipinga hatari iko kwa mwanamke kipofu. Mpakeni na matope
 
huwezi kuuza bila kuwa na wanunuzi..
wanunuzi wasipokuepo na wauzaji watamuuzia nani? biashara lazima ife

wananunua kwa sababu kuna wauzaji.
Kwani kati ya muuzaji na mnunuzi yupi anaanza
 
amenikwaza sana huyu kaka si kwa sababu mimi ni mwanamke bali anazungumza vitu ambavyo hajafanyia tafiti anaangalia vitu kirahisi sana

Bebii, tema mate chini nimchape. Au nipe ruhusa niifute hii thread.
 
Back
Top Bottom