Biashara ya miili Iringa noma

Ni noma kwa maana gani? Mji gani hapa Tz hakuna malaya? Ukienda Shinyanga kuna eneo la bar inaitwa Papilo ni nyuma ya stand tu sa1 usiku wako kibaaoo. Ni karibu mikoa yote sidhani kama Iringa ni noma kwa kumaanisha noma
Mji wa Moshi hakuna malaya
 
Wote tu skuiz ni malayer, demu gani utapiga game bila kufungua wallet?
 
Uchangudoa ulikuwepo tangu enzi za Yesu. Umalaya/ngono ni universal trend... duniani kote.

Kuna nchi nyingi tu UMALAYA ni legal business kabisa. Yani kuna nchi zimeshahalalisha uchangudoa.

Hakuna jipya chini ya jua.

-Kaveli-
 
Mji wa Moshi hakuna malaya
mh we mzee mbaba ulikuwa unaishi moshi mjini au kijijin ? haujawahi sikia sehemu inaitwaga malindi ? mzee mababa nenda pale kuanzia saa 9:30 ujionee ulimwengu wa akina manka
 
Ulivyo sema miili nikajua unamaanisha maiti
 
Mafinga iringa wanyaturu wamejaa unajua bar za kule kutokana na baridi huwa ni ndani huko ndani pia kuna guest house unakuta wasichana karibia wote wanajiuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata Moshi mjini wapo. Nimekaa Iringa, ukahaba si mkubwa vile. Dar na pengine Mwanza ndo tishio.
 
asante kwa taarifa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…