Habari ndugu, marafiki na jamaa!!, naomben ushauri juu ya biashara hii ya ng'ombe, mbuzi au kondoo kuhusu soko na gharama za usafiri kutoka Ruvu(pwani) hadi sokoni!!, lakin si mbaya kama kuna mfanyabiashara hiyo akashirkiana nami!!!. huwa mm nanunua kwa wafugaji na kuuza kwenye masoko ya huku porini ambayo hayana bei!!.
Masoko gani ya porini unayosema? Au una maana minada ya Ngererngere, nk? Ninachokijua ni kwamba kuna wale jamaa wa Comoro, huwa wanakuja sana pande za Vigwaza mpaka Talawanda kununua mbuzi, hujawahi kutana nao hao jamaa kweli? Au hujui kama wapo? Maana hao hununua kwa bei ya juu sana.