Wanaume wa Dar wanapitia changamoto nyingi sana! Supu ya pweza, wao! mihogo mibichi na chumvi, wao! juisi ya miwa, wao! panya road, wao! chips na yai la kisasa, wao! kujichubua, wao! kulia misibani, wao! Na sasa wamehamia kwenye mbegu za maboga! ππΌπΌπΆπΆπΆ
We buda unalalamika na wanaume wa Dar mbona dada zenu tunawajaza mimba wanaweletea wajomba muwalee si kazi yetu ni kuwa piga mbupu tu hizo mbegu za maboga wanapewa watoto zinasaidia kwenye ukuaji waoWanaume wa Dar wanapitia changamoto nyingi sana! Supu ya pweza, wao! mihogo mibichi na chumvi, wao! juisi ya miwa, wao! panya road, wao! chips na yai la kisasa, wao! kujichubua, wao! kulia misibani, wao! Na sasa wamehamia kwenye mbegu za maboga!
...... dafu na ndimu wao!juisi ya miwa,
Supu ya pweza, wao! mihogo mibichi na chumvi, wao! juisi ya miwa, wao! panya road, wao! chips na yai la kisasa, wao! kujichubua, wao! kulia misibani, wao!
Nachoshangaa watoto wengi waliokataliwa wapo mikoani,, ukiuliza majibu baba zao wapo darWe buda unalalamika na wanaume wa Dar mbona dada zenu tunawajaza mimba wanaweletea wajomba muwalee si kazi yetu ni kuwa piga mbupu tu hizo mbegu za maboga wanapewa watoto zinasaidia kwenye ukuaji wao
Ndio kazi yetu wanaume wa DarNachoshangaa watoto wengi waliokataliwa wapo mikoani,, ukiuliza majibu baba zao wapo dar
Ndio kazi yetu wanaume wa Dar
+ chumvi !Mahindi ya kuchoma + ndimu + pilipili wao!