Biashara ya Mbegu za Maboga now imeshamiri Dar, Asanteni dada zetu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,097
10,998
Kila sehem now dar ukienda basi mbegu za maboga now zinauzika sana, hata huku maofisini now waajiriwa hasa akina dada wanawauzia sana wanaume

Na wanaofanya biashara hii asilimia kubwa ni wanawake na wanunuzi ni wanaume, lahasha hakuna biashara inayochipukia vizuri kwa bahati mbaya, lazima kuwe na namna,

Asanteni dada zetu kwa kubuni hii biashara, sina shaka hata nyie mmetushtukia wanaume wa dar!

Uzi tayari.........
 
Wanaume wa Dar wanapitia changamoto nyingi sana! Supu ya pweza, wao! mihogo mibichi na chumvi, wao! juisi ya miwa, wao! panya road, wao! chips na yai la kisasa, wao! kujichubua, wao! kulia misibani, wao! Na sasa wamehamia kwenye mbegu za maboga! 🙉👼👼🚶🚶🚶
 
Wanaume wa Dar wanapitia changamoto nyingi sana! Supu ya pweza, wao! mihogo mibichi na chumvi, wao! juisi ya miwa, wao! panya road, wao! chips na yai la kisasa, wao! kujichubua, wao! kulia misibani, wao! Na sasa wamehamia kwenye mbegu za maboga!
We buda unalalamika na wanaume wa Dar mbona dada zenu tunawajaza mimba wanaweletea wajomba muwalee si kazi yetu ni kuwa piga mbupu tu hizo mbegu za maboga wanapewa watoto zinasaidia kwenye ukuaji wao
 
juisi ya miwa,
...... dafu na ndimu wao!
1569057277257.png


...... Mahindi ya kuchoma + ndimu + pilipili wao!
1569057363712.png

Supu ya pweza, wao! mihogo mibichi na chumvi, wao! juisi ya miwa, wao! panya road, wao! chips na yai la kisasa, wao! kujichubua, wao! kulia misibani, wao!
 

Attachments

  • 1569057227662.png
    1569057227662.png
    140.3 KB · Views: 20
Mbegu za maboga ni nzuri kiafya, waweza mix na ulezi ukakoroga uji..Pia kwa mama anayenyonyesha husaidia kuongeza virutubisho + kiwango cha maziwa.
 
We buda unalalamika na wanaume wa Dar mbona dada zenu tunawajaza mimba wanaweletea wajomba muwalee si kazi yetu ni kuwa piga mbupu tu hizo mbegu za maboga wanapewa watoto zinasaidia kwenye ukuaji wao
Nachoshangaa watoto wengi waliokataliwa wapo mikoani,, ukiuliza majibu baba zao wapo dar
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom