Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

KVM naona hii kazi uliinza muda mrefu kidogo, mimi binafsi naipenda sana hii biashara maana nilishawahi onja utamu wa pesa yake baada ya kuuza miti kidogo niliyopanda nikiwa sekondari. Nimefanikiwa kunua ekari 200 huko njombe najipanga kuanza kupanda january 2013 na 2014 ili mwaka 2022 niwe milionea sio kuanza kulalamikia mafao!
Type taarifa ya huu mradi mkuu
 
Mdugu
Mtaji unaweza ukaanza hata milioni kumi na tano hivi ambapo mchanganuo ni hivi...

1.milion 10 unanunulia mzigo
2.milion 1800000 nauli ya mzigo
3.Sh laki 8 hivi ushuru
4.Sh laki 4 kupakia mzigo
5.kibali inategemeana unakodi au umekata maliasili lakini vyovyote vile ni rahisi tu

Ko kiufupi ni hivo unaona hadi chenji zinabaki hizo zingine ni kwa ajili ya ongezeko umekutana na usumbufu au changamoto itakusaidia mkuu.

-Risk ya kupoteza mtaji ni kubwa ikiwa hujazingatia vitu vifuatavyo.

1.Kuto kuwa na vibali sahihi,Vibali vya maliasili kwa kweli unaweza poteza mtaji wako wote.
2.Kama huna Soko la kuaminika kwa kweli unaweza ona biashara ngumu na inaweza kukutoa kwe ramani.
3.N.k

-Sehemu ya kupata Mbao milunda hiyo usiwaze karibu NJOMBE, MAKAMBAKO huku ziko mbao nzuri na zilizo komaa safi kabisa.

Ushauri wangu ni kwamba kabla ya kuanza hii biashara tafuta kwanza Masoko ya uhakika yaani wateja wa kuaminika pia hakikisha unawatumia hata madalali hata kuwapa punguzo la bei hata shilingi mia moja kwa kila Ubao ili mradi mzigo wako uuzike kwa haraka kwa faida ndogo ila mzunguko mkubwa kwa hakika huta iacha biashara ya Mbao ni biashara tamu sana kuliko kitu kingine.

Richa ya risk ya hii biashara lakini inafaida kubwa sana ikiwa utazingatia kanuni hapo juu.

Contact 0737263867
Contact 0673376687
Miti ya aina ya Cypress inapatikana kwa wingi kwa hizo sehemu za Njombe,Mafinga nk. ?
 
Mimi nafanja hiyo biashara natoa mbao mzigo wa semi (3500-4000pc) kutoka Makambako, Njombe, Matembwe. Na deal na mbao fupi (12ft) kufunga mzigo wa semi ina cost 10-15 million inategemea mchangajiko wako wa mbao. Usafiri una cost 2.7-3.3 million kutegemea na wapi unapakia mbao. Ushuru una cost 200000-800000 inategemea wapi unapakia mbao. Kibali 100000, wapakiaji 120000, risiti ya tra 300,000. So bila 16-20 million uwezi leta mbao Dar. Mimi nauza semi 1 kila wiki so kwa mwenzi semi 4 yani kila wiki nashusha mbao.

Naweza uza hivyo coz mimi niko kati ya top three ya wauza mbao Buguruni wenye bei ya chini. Wateja wangu wengi ni wauza mbao kwenye maduka madogo so wateja wa 5-8 mzigo umeisha. Pia na mashine ya kuchana na ya kuranda na pipa la kutreat mbao. So mteja kwangu hana usumbufu. Kingine mm na semi trailer yangu 124L 420 scania so kutoka dar napakia mbolea naenda kushusha njombe then napakia mbao zangu kuja dar every wk.

The trick ni kuuza mbao njingi kwa bei chee than kuuza mbao chache kwa bei ya juu. Sikosi 3.5 million kwa kila mzigo jani per wk. kwa mwezi na 14. Biashara hii inaitaji moyo coz its risky nakujituma. Bila 30 million uwezi hii biashara. Mtaji wangu uko kweje 200 million na nina rejesho la 4 million kila mnth crdb bank for three year its not a joke. Nikujituma, kuomba mungu wako na shule kichwani.
Mkuu naomba tuwasiliane 0684014751
 
Back
Top Bottom