Biashara ya mashudu ya alizeti kwa wanaofuga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya mashudu ya alizeti kwa wanaofuga.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mangandula, Dec 14, 2011.

 1. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Haya wanajamvi nipo mbioni kufunga mashine ya kukamua mafuta ya alizeti maeneo ya Makambako ktk mkoa mpya wa njombe, Kwa wale wanaohitaji mafuta ya alizeti na wafugaji wanaohitaji mashudu ya alizeti wanitafute tufanye biashara.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  -mkuu hiyo kitu inatafutwa sana huko kenya, na inatumika kutengenezea breakshoose za gari.
   
 3. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nashukuru mkuu, je unajuwa wananunua bei gani kwa kila kilo 1?
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Nitafanya mawasiliano na watu fulani wa BABATI MANYARA THENI NITAKUAMBIA
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kweli mashudu ni biashara nzuri.Je umejipanga vizuri kupambana na ushindani wa viwanda vya jinsi hiyo hapo MaKambako? Mwakajuzi kulikuwa na viwanda nane vya kukamua alizeti, unaonaje ukisogea pale Wanging`ombe au Ilembula kabisa kwa wakulima waliko,Ilembula umeme upo na barabara ni ya lami. ni wazo tu mkuu wangu.
   
Loading...