miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ha haha okeyTumeboreshakha muhimbili in Magu voice...
ha haha okeyTumeboreshakha muhimbili in Magu voice...
Mtikisiko wa kiuchumi watu wanazika pekupeku shimoni, hakuna mambo ya jeneza, rambirambi ni jerojero; chezea uchumi wa viwanda wewe?!Mahojiano mafupi na mfanyabiashara maarufu wa majeneza mitaa ya Tandika yamenifanya najiuliza maswali mengi. Je, maisha magumu kiasi kwamba watu hawataki kufa au ni mtikisiko wa uchumi unagusa mpaka kazi hizo.
Mfanyabiashara huyo amesema biashara imeanguka kwa zaidi ya 50% tofauti na miaka ya nyuma.
Nini maoni yako watu hawafi sana au nini?
Mahojiano mafupi na mfanyabiashara maarufu wa majeneza mitaa ya Tandika yamenifanya najiuliza maswali mengi. Je, maisha magumu kiasi kwamba watu hawataki kufa au ni mtikisiko wa uchumi unagusa mpaka kazi hizo.
Mfanyabiashara huyo amesema biashara imeanguka kwa zaidi ya 50% tofauti na miaka ya nyuma.
Nini maoni yako watu hawafi sana au nini?
Huku Bagamoyo tunabeba maiti kwenye teremka tukazeDuuuh watu wamegoma kufa
Hahaha mkuu wewe ni noma asee life tough huwez kutuacha peke yetuSiku hizi hata ukikutwa unataka kujinyonga watu wanakuokoa ili tuisome namba wote.
Dah! Mkuu mbavu zangu😀😀😀😀Waislamu wana jet fighter yao inapaki misikitini ni free of charge, sasa jeneza la nini?
mkuu upo makini sana kwenye kuhesabu siku. umesahau kujumlisha hapo miaka mitanoDuh miaka 3 na siku 300 zilizobakia mengi yatatokea
Wanazikana bila majeneza, wanawaiga Waislam.
Jamaa anasema Kwa week walikuwa wana uza majeneza 12 mpk 14 Kwa sababu walikuwa na ofisi mbili moja temeke moja mbagala Sasa hivi ananiambia Mwisho matano Kwa weekHii sasa kali
OVA
Kila siku hua nasema, utaratibu wa maziko wa kiislam hauna mbwembwe nyingi, lengo ni kumhifadhi marehem, na ndio kinachofanyika.
Inabidi tuige na kwenye harusi pia, kwa mwendo huu tutabadilika tu kadri muda unavyoendelea, haiwezekani bajeti za harusi kuwa 10M, 15M, 20M sijui 50M. wakati kuna vitu vya msingi vingi tu vinapuuziwa.
Umuhimu wa ndoa ni kanisani au msikitini pale mnapopewa cheti na kutangazwa mume na mke, mengine baada ya hapo ni anasa tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Waislamu wana jet fighter yao inapaki misikitini ni free of charge, sasa jeneza la nini?
Zile jet fighter ndo ndege za mwisho kupakiwa hapa dunian ni kwa ajili ya wasafiri wanaoenda tuWaislamu wana jet fighter yao inapaki misikitini ni free of charge, sasa jeneza la nini?