Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

Mahojiano mafupi na mfanyabiashara maarufu wa majeneza mitaa ya Tandika yamenifanya najiuliza maswali mengi. Je, maisha magumu kiasi kwamba watu hawataki kufa au ni mtikisiko wa uchumi unagusa mpaka kazi hizo.

Mfanyabiashara huyo amesema biashara imeanguka kwa zaidi ya 50% tofauti na miaka ya nyuma.

Nini maoni yako watu hawafi sana au nini?
hahaha its not funny but it worth laughing.
 
Jamaa anasema Kwa week walikuwa wana uza majeneza 12 mpk 14 Kwa sababu walikuwa na ofisi mbili moja temeke moja mbagala Sasa hivi ananiambia Mwisho matano Kwa week
Mwambie atengeneze majeneza ya V.I.P kwa ajili ya viongozi wakubwa wa "sirikali" maana ni zamu yao japo wanaondoka mmoja mmoja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
Mungu anakuona tengua kauli
 
ukienda kununua hayo maksha wanakwambia karibu tena!!
 
Watu wamepunguza maovu wanajaa nyumba za ibada japo sadaka nazo kidogo hivo wamegoma kufa.
 
Mambo yamebadilika sana siku hizi kina dada wana kucha za bandia kupika hawawezi inabidi aajiriwe mpishi wenyewe kazi kuja kulia tu tena kwa key anajifuta futa tu machoni ili makeup isiharibiki sasa itabidi tu warudi enzi za kina mama kuchochea kuni ili mambo yaende.
 
"Serikali ninayoiongoza imefanikiwa kutumbua vifo feki, wengi walikuwa wanakufa kufa hovyo bila mpangilio. unakuta mtu anajiamulia kufa tu bila utaratibu, sasa hivi ni lazima upate kibali ili ufe! Tumetumbua kufa!! Hao wanaolalamika walikuwa ni wapiga dili waliozoea vifo vya bure bure......" 😀😀
 
Hahaha Duh watu mmepinda kinoma comedy mnajua. Hahaha mkuu umetisha Bila kinyago hapo kwenye vifo feki [emoji109]
 
si ndo poa jamani

Back
Top Bottom