Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,881
Reaction score
60,912
Mahojiano mafupi na mfanyabiashara maarufu wa majeneza mitaa ya Tandika yamenifanya najiuliza maswali mengi. Je, maisha magumu kiasi kwamba watu hawataki kufa au ni mtikisiko wa uchumi unagusa mpaka kazi hizo.

Mfanyabiashara huyo amesema biashara imeanguka kwa zaidi ya 50% tofauti na miaka ya nyuma.

Nini maoni yako watu hawafi sana au nini?
 
Mahojiano mafupi na mfanyabiashara maarufu WA majeneza mitaa ya tandika yamenifanya najiuliza maswali mengi.. Je maisha magumu kiasi kwamba watu hawataki Kufa au ni mtikisiko WA uchumi unagusa mpaka kazi hizo..mfanyabiashara huyo amesema biashara imeanguka Kwa zaidi ya 50% tofauti na miaka ya nyuma.nini maoni yako watu hawafi Sana au nini?

Maisha magumu, yawezekana mpaka watu hawafi tena
 
Mahojiano mafupi na mfanyabiashara maarufu WA majeneza mitaa ya tandika yamenifanya najiuliza maswali mengi.. Je maisha magumu kiasi kwamba watu hawataki Kufa au ni mtikisiko WA uchumi unagusa mpaka kazi hizo..mfanyabiashara huyo amesema biashara imeanguka Kwa zaidi ya 50% tofauti na miaka ya nyuma.nini maoni yako watu hawafi Sana au nini?
Hiii kali sasa
 
Dah,Kumbe biashara ni kutegemeana......Ivi na wale wanaochimbaga makaburi nao watakuwa wapo katika hali gani ?
 
Duh miaka 3 na siku 300 zilizobakia mengi yatatokea
 
Back
Top Bottom