Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

Watu wanakufa kama kawa, ila hawazikwi kifahari kama zamani... Mtu akifa, anatiwa kwenye box la mbao kama mzinga wa nyuki then anapelekwa six feet under! Yale mambo sijui ya jeneza lililorembwa kwishney...
watu walizoea kufanya msiba kama Arusi sasa tumerudi kama zamani.

Umerudi utaratibu wa zamani wa bajeti ndogo, mnaangusha mti jeneza linagongwa ndugu anawekwa hadithi kwisha.

Ilifikia wenye kutengeneza majeneza wanakwenda kwenye mabenki na kuchukua mikopo mikubwa ili kutangeneza majeneza ya bei mbaya na kuwauzia wateja!

Wajipange kutafuta biashara nyingine sasa.
 
Sijui asilimia zinatumika sawa sawa au nazo zinapigwa kisiasi zaid asilimia 50 kibiashara sio mchezo mchezo hebu turudi darasani tujifunze tens hesabu
 
Uislam ni mwema sana katika maishz yote na si kwenye kuzikana na ndoa tu.

Usomeni vizuri Uislam na si ule wa kwenye media zinazouzulia uongo wa kila aina.
Kuna Quran ya kiswahili au kiingereza nianze kuisoma
 
Sijui asilimia zinatumika sawa sawa au nazo zinapigwa kisiasi zaid asilimia 50 kibiashara sio mchezo mchezo hebu turudi darasani tujifunze tens hesabu
Mkuu MBONA iko wazi mimi nimezungumzuia MFANO WA Takwimu za huyo mfanyabiashara amedai zamani Kwa week walikuwa wanauza majeneza 12 kwenye ofisi zao mbili temeke na mbagala Kwa Sasa wanapata order ya majeneza 4 mpk 5..kwa Takwimu hizo na uhakika ni 50%...Ila Kuna nyingine Uongo MFANO ETI biashara ya mafutA Imepungua Kwa 50% siikubali kabisa hiko ni kiwango kikubwa Sana
 
mh lakn ugumu wa maisha na kufa kwa watu ni vitu viwili visivyoendana kabsa mletd mada..! hebu fikiria tenda kuhsu wazo lako
 
Jamaa watu wakifaa kwao ni furaha basi

OVA
Jamaa anasema Kwa week walikuwa wana uza majeneza 12 mpk 14 Kwa sababu walikuwa na ofisi mbili moja temeke moja mbagala Sasa hivi ananiambia Mwisho matano Kwa week
 
Watu wanakufa kama kawa, ila hawazikwi kifahari kama zamani... Mtu akifa, anatiwa kwenye box la mbao kama mzinga wa nyuki then anapelekwa six feet under! Yale mambo sijui ya jeneza lililorembwa kwishney...
Acha kuongea pumbaaa
 
Acha kuongea pumbaaa
Bora mie naongea pumba. Wewe unaongea kama vile umezaliwa leo... Yani unaongea mambo ya kitoto toto, utoto toto mwiingiii. Inabidi ifike mahali JF wazuie watoto under 18 kama wewe kuingia kwenye majukwaa!
 
Hivi kwa nini wanapouza majeneza huwa hakuna kibao cha KARIBU TENA
Hiyo ndiyo itakuwa sababu inayofanya wateja wasirudi tena, halafu yeye anaona biashara ngumu kumbe yeye mwenyewe sio mbunifu.
 
Mahojiano mafupi na mfanyabiashara maarufu wa majeneza mitaa ya Tandika yamenifanya najiuliza maswali mengi. Je, maisha magumu kiasi kwamba watu hawataki kufa au ni mtikisiko wa uchumi unagusa mpaka kazi hizo.

Mfanyabiashara huyo amesema biashara imeanguka kwa zaidi ya 50% tofauti na miaka ya nyuma.

Nini maoni yako watu hawafi sana au nini?
Haah..!!![emoji102] [emoji102][emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87]
Wajameni nyie mwataka sie tufe ili muuze majeneza..!!!
Mmeona haya mateso tunayopata kwenye huu utawala hayatoshi sasa mwaanza kutuchulia..!
Ee Mungu watu hawa washindwe na walegee.!
 
Back
Top Bottom